Yanga SC yafungiwa tena kwa kushindwa kulipa madeni ya usajili

Hao viongozi Wasikosee kwa sababu gani? Huwa hawashindwi kesi na kulipa mafidia yasiyo na lazima? Hizi Club zishakuwa kama dini sasa, ni kusifu na kuabudu.
Wapi niliposema hawakosei?
Nani kasema hawashindwi kesi na kulipa fidia?
 
Wapi niliposema hawakosei?
Nani kasema hawashindwi kesi na kulipa fidia?
Soma waraka wako boss utaona ulivyowapamba viongozi kanakwamba si wakatikaji.
 
Soma waraka wako boss utaona ulivyowapamba viongozi kanakwamba si wakatikaji.
Hata mimi naenda na andiko lako la kukosoa. Onyesha sentensi gani nimeandika hawakosei au timu haipigwi faini na kulipishwa fidia?

Kwa hiyo ukiwapamba viongozi ndio kiashiria cha kusema hawakosei? Najua ni binadamu wana makosa mengi ila haiondoi sifa zao nzuri. Yanga football club issue ya kulipa fidia wachezaji au wafanya kazi ni jambo la kawaida kabisa. Duniani kote timu zote zinavunja mikataba na kulipa fidia. Yanga inalipa wachezaji au makocha kwa mujibu wa sheria toka vyama vya mpira. Ndio maana hakuna dirisha la usajili lilipofika hawakusajili au kuwepo kizuizi.
 
Kwa mentality ndio maana wengi wenu mnapenda kukopa ila hamtaki kulipa, ndio maa mna maadui Kila Kona kwanzia ndani ya familia yako sababu ya kutokulipa madeni ya watu
Ni moja ya mentality za kimasikini kuhalalisha mambo ya ajabu. Yes madeni yapo but si sifa ya uanaume
 
Ni Matapeli Fc mkuu ndo maana kila siku mabarua ya kukumbushwa waache utapeli.
 
Ni Matapeli Fc mkuu ndo maana kila siku mabarua ya kukumbushwa waache utapeli.
Kuna facts na ushabiki uliombatana na utani mkuu. Kukumbushwa haimaanishi hawajui au hawatalipa.
 
Huko tuendako Yanga itakuja kufungiwa jumla kusajili kwa misimu mitatu maana wamekuwa wasumbufu sana
 
Uto imefungiwa-haijafungiwa?
Imefungiwa na nani? Timu iliyofungiwa uwa inasajili? KELELE zenu za Kila siku uwa amjishtukii,,uyo okrah mnaemsema alishalipwa siku nyingi anashangaa habari za udaku na kipeperushi cha uyo mirky wenu kinachosema makao makuu ya fifa yako Miami!!!
 
What if kila upochelewa unapigwa penalt?
 
Kwanza kuonekana wewe tu unapigwa faini mara kwa mara inaashiria nini kwa klabu na uongozi.

Hata wachezaji wataanza kuogopa kujiunga na hii timu ama unakutana na vipengele vigimu kwenye mikataba yao ili kujilinda na uhuni wa klabu.
 
What if kila upochelewa unapigwa penalt?
Sasa hiyo ni if. Soma hiyo barua iliyopo hapo kama ina penalty. Penalty hutokea pale ambapo umepewa due date ya kukamilisha malipo. Kama hilo halipo kwa nini ukimbilie kulipa mapema?
 
Kwanza kuonekana wewe tu unapigwa faini mara kwa mara inaashiria nini kwa klabu na uongozi.

Hata wachezaji wataanza kuogopa kujiunga na hii timu ama unakutana na vipengele vigimu kwenye mikataba yao ili kujilinda na uhuni wa klabu.
Maelezo yakitolewa yakawa na mashiko hakuna kiashiria kibaya. Kama kuna shida Yanga isingekuwa inasajili kila dirisha. Matatizo na kusumbuka ni kwa wasomaji wa barua mitandaoni kuliko wahusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…