Hivi wewe hujui yanga ni sehemu ya uhuru wa hii nchiHapa huwa nashindwa kuelewa kwanini haya mambo ya mpira kuleta wanasiasa.
Huku ni kuwagawa mashabiki wa mpira, Simba walifanya hivi na Yanga nao wamemualika kiongozi wa siasa.
Anayeshauri haya huwa haangalii madhara yake.
Sio yanga tu hebu soma hapo chiniHivi wewe hujui yanga ni sehemu ya uhuru wa hii nchi
Kumbe shida ni Elimu, ndiyo maana Haji Manara amekiri hilo kuwa kule wenye akili ni Baba yake pamoja na Mzee JK tu 🤪Sio yanga tu hebu soma hapo chini
Wadada ni wanachi pia na wana haki kikatibaNje ya Mada, Hivi hiyo Kauli Mbiu ya Yanga "Byuti Byuti" sio mambo ya akina Dada kweli? [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mbona suma mwaitenda hamumpi airtime aitangaze hiyo byuti yenu nae si mwanadada ?Wadada ni wanachi pia na wana haki kikatiba
Ndiyo hadi Wanaume nao Waseme hivyo Byuti Byuti?Wadada ni wanachi pia na wana haki kikatiba
Mkuu sina maana hiyo,Kama kutomualika mwasiasa ni kumtenga kwenye mchezo wa mpira basi sawa tumeelewa hivyo kwa kuwa mpira wetu ni wa kivyetu vyetu.
Unapoteza muda wako wa thamani kulijibu hilo kilaza.Mkuu sina maana hiyo,
Maana yangu ni kwamba, kama tuna uwezo wa kumwalika asiye mwanasiasa tuna sababu zipi za kutomwalika mwanasiasa!
Kinana ni yanga, anapaswa kuangaliwa kama mwana yanga na si mwana ccm, kwasababu mpira hutuleta pamoja.
Kwa akili yako kuna siku itatokea akaalikwa Mbowe?Mkuu sina maana hiyo,
Maana yangu ni kwamba, kama tuna uwezo wa kumwalika asiye mwanasiasa tuna sababu zipi za kutomwalika mwanasiasa!
Kinana ni yanga, anapaswa kuangaliwa kama mwana yanga na si mwana ccm, kwasababu mpira hutuleta pamoja.
nalitarajia hilo pia.Kwa akili yako kuna siku itatokea akaalikwa Mbowe?
Punguani wa Akili, huwezi kuelewa hapa yataka akili kubwa ya akina Sunday na Kikwete tu yaani pale Uto.Ukiambiwa huna akili unakasirika..
Yeye amealikwa kama mgeni rasmi au kama mwanasiasa?
Inaonekana uliangushwa kisogoni udogoni.
Hatuhusiki na ujinga ulio amua kufuga kichwani kwakoNdiyo hadi Wanaume nao Waseme hivyo Byuti Byuti?
It doesn't make any sense Kwa kweli Mwanaume kutamka hayo maneno.
Bora uhamie kwetu useme "We are Unstoppable"[emoji123][emoji123][emoji123]