Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Klabu ya Yanga imetangaza kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, ni mgeni rasmi kwenye tamasha la wiki ya Wananchi 2022/2023 linalofanyika leo Agosti 6, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jiji Dar es salaam.