Yanga SC yamtimua Nahodha wake Lamine Moro kambini Mtwara kwa Utovu wa Nidhamu ufuatao usiovumilika

Niyonzima kuchoshwa yanayoendelea na kocha ni unafiki ,muda mfupi tu kocha Nabi yupo na yanga.anapaswa kuchoshwa na uongozi.
Niyonzima kipenzi Cha yanga muda kustaafu umewadia

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Gentamycin huyo
 
Ni kweli Malalamiko FC watafungwa lakini hoja yako ya kuvunja jungu siiafiki, maana hata Wachezaji wa Namungo nao walivunja 'Jungu'
 
Yanga SC tokea asajiliwe Saido Ntibazonkinza kumekuwa na Matabaka kwa Wachezaji na mpaka wengine Kutukanana Kambini kama Kaseke na huyu huyu Ntibazonkinza.
Mara Lamin Moro! Mara Niyonzima! Mara Ntibazonkiza, mara Kaseke!! Shida yako ni nini hasa wewe mbumbumbu?

Hivi ni kwa nini mnapenda sana kusikia Yanga ikisemwa na wachambuzi kama hiyo timu yenu ya mikia fc?
 
Unaonekana unavutiwa sana na stori za umbea na majungu! Halafu aliyekupa mamlaka ya kuwapangia watu cha kusema ni nani?

Ni yule mwizi wa mali za ccm?
 
Walishikana mashati na kocha wake wakkataka kuzichapa kidogo
 
Wametumia KANUNI ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…