Yanga SC Yapanda Namba 9 Viwango Vya Klabu Bora Afrika

Yanga SC Yapanda Namba 9 Viwango Vya Klabu Bora Afrika

Kwakifupi kwenye orodha ya Klabu Bora Afrika Sisi Kama Dar Young Africans SC tumewapita kwa ubora vilabu 4 ambavyo vimeshiriki CAFCL msimu huu.

[emoji23][emoji23]
ujinga bana yan Yanga tu ndo wapande hadi nafasi ya 9 ila wenzao walioingia nusu fainali kuanzia asec usma marumo wasiwepo [emoji23][emoji23]
 
Yan haya matakataka yenu muyapeleke kwa hersi huko. Ushuzi kabisa. Yan alhilal waliotolewa hata makundi hawakugusa wawazidi Simba waliocheza robo. Asec aliyecheza group stages miaka miwili mfululizo na sasa yuko nusu azidiwe na yanga.
 
Umeamua kubishana na wanazuoni walio andaa tafiti.

Basi zilete zako za huko Mpelangwasi.[emoji23][emoji23]
 
Unaweza kucheza nusu fainali na usiwe bora.

Mfano:- Azam FC hajacheza robo fainali laakini amekulambisha ukwaju katika ASFC.
Hebu ficha ujinga wako basi. Asec kacheza group stage mwaka jana na mwaka huu yuko nusu. Yanga anamzidi nn Asec. Muda mwingine Unaweza kufanya mtu akudharau kwa ujinga ujinga mnaongeaga.
 
Hii ni orodha ya matokeo ya viwango vipya ambavyo vimetolewa na Shirikisho laa Kimataifa la Takwimu na Historia za Mpira wa Miguu yaani (IFFHS)

Link:- (IFFHS)

Kongole kwa GSM kwa maana jitihada zako zisizo na mbambamba zimefanya Mabingwa wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Kushika nafasi ya 9 ambayo haijawahi kufikiwa na Klabu yeyote ile kutoka ukanda wa nchi waasisi za Afrika Mashariki.

Natumai baada ya kuchukua ubingwa wa CAFCC tutafika hadi nafasi ya 2 kiafrika.

Matunda ya uwekezaji bora, usajili bora na uendeshaji bora wa kisasa wa klabu ndio haya sasa.View attachment 2622188
Hivi MWaka Jana na mwaka juzi so waliikuwa wanna tumia iffsh kujiita giant.....Sasa Leo wanabisha nn
 
N
Kwakifupi kwenye orodha ya Klabu Bora Afrika Sisi Kama Dar Young Africans SC tumewapita kwa ubora vilabu 4 ambavyo vimeshiriki CAFCL msimu huu.

[emoji23][emoji23]
GOja tuchukue ubibgwa tukae chungu Cha pili mwakan wanavoandaa makubdi mammae....na mda wa kufuzu ttapangiwa vibonde....pia nakumbusha kuwa Tutaanzia ugenini .....nasemaje,nasemaje mtateseka sana
 
Hii ni orodha ya matokeo ya viwango vipya ambavyo vimetolewa na Shirikisho laa Kimataifa la Takwimu na Historia za Mpira wa Miguu yaani (IFFHS)

Link:- (IFFHS)

Kongole kwa GSM kwa maana jitihada zako zisizo na mbambamba zimefanya Mabingwa wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Kushika nafasi ya 9 ambayo haijawahi kufikiwa na Klabu yeyote ile kutoka ukanda wa nchi waasisi za Afrika Mashariki.

Natumai baada ya kuchukua ubingwa wa CAFCC tutafika hadi nafasi ya 2 kiafrika.

Matunda ya uwekezaji bora, usajili bora na uendeshaji bora wa kisasa wa klabu ndio haya sasa.View attachment 2622188
ISEE NANI AMEKUAMBIA UWEKE HII HABARI HUMU, HIKI NI KIPINDI KIBAYA SANA KWA MAJIRANI ZETU
Wanaweza kujitoa uhai ukaesabika wewd nxietuliewambia wafunge mpaka wafe
Maana hawana cha kupoteza[emoji3][emoji3]
 
Hakuna kitu kinaitwa masindano ya CAF.
Kuna CAF champions league na CAF Confederation Cup.
Moja ni ligi nyingine ni kikombe.
Kama Ilivyo UEFA na EUROPA.
Najua unayafahamu haya, ila nakazia tu.
Simba anashiriki mashindano yapi kati ya hayo kwasasa? Kwasababu hayo mashindano hayajaisha bado
 
Hakuna kitu kinaitwa masindano ya CAF.
Kuna CAF champions league na CAF Confederation Cup.
Moja ni ligi nyingine ni kikombe.
Kama Ilivyo UEFA na EUROPA.
Najua unayafahamu haya, ila nakazia tu.
Punguza makasiriko mimba itatoka
 
Umeona wapi LIGI ina makundi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio makundi, ni matabaka. CAF Champions League ni tabaka la timu zinazoshiriki michuano ya Klabu Bingwa Afrika, na CAF Confederation Cup ni tabaka jingine la timu zilizoteuliwa kushiriki huko kwa utaratibu wa FA husika, zikiungana katika Second Round na timu zilizoshindwa kuingia Group stage ya CAF Champions League
 
Umeona wapi LIGI ina makundi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ungenyamaza kimya pengine ungesitiri heshima walau ndogo iliyokuwapo.

1684126318756.png
 
Back
Top Bottom