Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ujinga bana yan Yanga tu ndo wapande hadi nafasi ya 9 ila wenzao walioingia nusu fainali kuanzia asec usma marumo wasiwepo [emoji23][emoji23]Kwakifupi kwenye orodha ya Klabu Bora Afrika Sisi Kama Dar Young Africans SC tumewapita kwa ubora vilabu 4 ambavyo vimeshiriki CAFCL msimu huu.
[emoji23][emoji23]
Unaweza kucheza nusu fainali na usiwe bora.ujinga bana yan Yanga tu ndo wapande hadi nafasi ya 9 ila wenzao walioingia nusu fainali kuanzia asec usma marumo wasiwepo [emoji23][emoji23]
Na intensity ya manyanyasiko inakua kubwa kutokana na kujiona ni timu kubwa Afrika.Inabidi kuzoea tu.
Umeamua kubishana na wanazuoni walio andaa tafiti.Yan haya matakataka yenu muyapeleke kwa hersi huko. Ushuzi kabisa. Yan alhilal waliotolewa hata makundi hawakugusa wawazidi Simba waliocheza robo. Asec aliyecheza group stages miaka miwili mfululizo na sasa yuko nusu azidiwe na yanga.
Hebu ficha ujinga wako basi. Asec kacheza group stage mwaka jana na mwaka huu yuko nusu. Yanga anamzidi nn Asec. Muda mwingine Unaweza kufanya mtu akudharau kwa ujinga ujinga mnaongeaga.Unaweza kucheza nusu fainali na usiwe bora.
Mfano:- Azam FC hajacheza robo fainali laakini amekulambisha ukwaju katika ASFC.
Kama hujawahi shhiriki fainali ya CAF basi jihesabie ni timu NDOGO.Na intensity ya manyanyasiko inakua kubwa kutokana na kujiona ni timu kubwa Afrika.
Wangejiona ni timu ya kawaida inayochipukia kuelekwa kwenye ukubwa wasingenyanyasika hivyo.
Hivi MWaka Jana na mwaka juzi so waliikuwa wanna tumia iffsh kujiita giant.....Sasa Leo wanabisha nnHii ni orodha ya matokeo ya viwango vipya ambavyo vimetolewa na Shirikisho laa Kimataifa la Takwimu na Historia za Mpira wa Miguu yaani (IFFHS)
Link:- (IFFHS)
Kongole kwa GSM kwa maana jitihada zako zisizo na mbambamba zimefanya Mabingwa wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Kushika nafasi ya 9 ambayo haijawahi kufikiwa na Klabu yeyote ile kutoka ukanda wa nchi waasisi za Afrika Mashariki.
Natumai baada ya kuchukua ubingwa wa CAFCC tutafika hadi nafasi ya 2 kiafrika.
Matunda ya uwekezaji bora, usajili bora na uendeshaji bora wa kisasa wa klabu ndio haya sasa.View attachment 2622188
GOja tuchukue ubibgwa tukae chungu Cha pili mwakan wanavoandaa makubdi mammae....na mda wa kufuzu ttapangiwa vibonde....pia nakumbusha kuwa Tutaanzia ugenini .....nasemaje,nasemaje mtateseka sanaKwakifupi kwenye orodha ya Klabu Bora Afrika Sisi Kama Dar Young Africans SC tumewapita kwa ubora vilabu 4 ambavyo vimeshiriki CAFCL msimu huu.
[emoji23][emoji23]
Aaanza kuikarmtaa Hadi main source[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwakarobo wako na shida aisee
ISEE NANI AMEKUAMBIA UWEKE HII HABARI HUMU, HIKI NI KIPINDI KIBAYA SANA KWA MAJIRANI ZETUHii ni orodha ya matokeo ya viwango vipya ambavyo vimetolewa na Shirikisho laa Kimataifa la Takwimu na Historia za Mpira wa Miguu yaani (IFFHS)
Link:- (IFFHS)
Kongole kwa GSM kwa maana jitihada zako zisizo na mbambamba zimefanya Mabingwa wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Kushika nafasi ya 9 ambayo haijawahi kufikiwa na Klabu yeyote ile kutoka ukanda wa nchi waasisi za Afrika Mashariki.
Natumai baada ya kuchukua ubingwa wa CAFCC tutafika hadi nafasi ya 2 kiafrika.
Matunda ya uwekezaji bora, usajili bora na uendeshaji bora wa kisasa wa klabu ndio haya sasa.View attachment 2622188
PumbaSamahani..
Sitorudia tena ku kumbusha ukweli. Mkuu.
Simba anashiriki mashindano yapi kati ya hayo kwasasa? Kwasababu hayo mashindano hayajaisha badoHakuna kitu kinaitwa masindano ya CAF.
Kuna CAF champions league na CAF Confederation Cup.
Moja ni ligi nyingine ni kikombe.
Kama Ilivyo UEFA na EUROPA.
Najua unayafahamu haya, ila nakazia tu.
AahaaàaaaUmeona wapi LIGI ina makundi [emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza makasiriko mimba itatokaHakuna kitu kinaitwa masindano ya CAF.
Kuna CAF champions league na CAF Confederation Cup.
Moja ni ligi nyingine ni kikombe.
Kama Ilivyo UEFA na EUROPA.
Najua unayafahamu haya, ila nakazia tu.
Sio makundi, ni matabaka. CAF Champions League ni tabaka la timu zinazoshiriki michuano ya Klabu Bingwa Afrika, na CAF Confederation Cup ni tabaka jingine la timu zilizoteuliwa kushiriki huko kwa utaratibu wa FA husika, zikiungana katika Second Round na timu zilizoshindwa kuingia Group stage ya CAF Champions LeagueUmeona wapi LIGI ina makundi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ungenyamaza kimya pengine ungesitiri heshima walau ndogo iliyokuwapo.Umeona wapi LIGI ina makundi [emoji23][emoji23][emoji23]