Yanga SC Yapanda Namba 9 Viwango Vya Klabu Bora Afrika

Na hizi points akiingia fainali maana yake anakuwa juu ya al hilal.
Wanatofautiana kwa pointi 4.5, nadhani ponti zinapatikana kwa kushinda mechi kwenye mashindano ya CAF ila zinatofautiana kwa aina ya .mashindano.

Kwa Kombe la Shirikisho sijajua timu ikishinda inapata pointi ngapi ila kama Yanga angekuwa anakutana na aliye juu yake akamshinda nadhani pointi zinakuwa nyingi tofauti na kumshinda aliye chini.
 
Huu upuuzi bado mnao?
Simba TAIFA KUBWA KENGE NYIE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kazi kubana pua tu......

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…