Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Kwahiyo Yanga ana points ngapi mpaka sasa hivi mana naona hapo points zimetumika kurank
Hizo hapo 118.5 kwenye picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Yanga ana points ngapi mpaka sasa hivi mana naona hapo points zimetumika kurank
Na hizi points akiingia fainali maana yake anakuwa juu ya al hilal.View attachment 2623795
Hizo hapo 118.5 kwenye picha
Wanatofautiana kwa pointi 4.5, nadhani ponti zinapatikana kwa kushinda mechi kwenye mashindano ya CAF ila zinatofautiana kwa aina ya .mashindano.Na hizi points akiingia fainali maana yake anakuwa juu ya al hilal.