Yanga SC yapangwa dhidi ya Woilatta Dicha ya Ethiopia

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Klabu ya Yanga imepangwa kucheza na timu ya Wolaitta Dicha SC ya nchini Ethiopia katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika

> Yanga inashirki michuano hii babaada ya kuondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika

> Michezo ya kwanza inatarajiwa kurindima mnamo tarehe 6,7, na 8 mwezi April 2018 na michezo ya pili kupigwa 17 na 18 mwezi April
=======

YANGA KUCHEZA NA NANI KATI YA TIMU HIZI 8, DROO NI LEO

Timu ambazo mojawapo inaweza kupangwa na Yanga katika droo ya kesho ya CAF Confederation Cup.

CR Belouizdad, USM Alger za Algeria, Al-Masry ya Misri, Djoliba ya Mali, Raja Casablanca, Enyimba ya Nigeria, SuperSport United ya Afrika Kusini na Al-Hilal Al-Ubayyid ya Sudan.

NB:Chonde chonde mashabiki wa yanga ombeni msipangiwe Kati ya hawa Raja Casablanca au USM Alger kwa ninavyomfahamu lwandamina tutadhalilika na sijui nyuso zetu tutaziweka wapi...Tuombeni tupangiwe hizo timu zingine
 
Huko Algeria si ndiko walikopoteana airport??
 
stage group.jpg

Kuangalia live upangaji wa droo angalia tvs hizo na muda wake
 
YANGA KUCHEZA NA NANI KATI YA TIMU HIZI 8, DROO NI LEO

Timu ambazo mojawapo inaweza kupangwa na Yanga katika droo ya kesho ya CAF Confederation Cup.

CR Belouizdad, USM Alger za Algeria, Al-Masry ya Misri, Djoliba ya Mali, Raja Casablanca, Enyimba ya Nigeria, SuperSport United ya Afrika Kusini na Al-Hilal Al-Ubayyid ya Sudan.

NB:Chonde chonde mashabiki wa yanga ombeni msipangiwe Kati ya hawa Raja Casablanca au USM Alger kwa ninavyomfahamu lwandamina tutadhalilika na sijui nyuso zetu tutaziweka wapi...Tuombeni tupangiwe hizo timu zingine
Akakumbane na Al Masry tu ili tuone kama wana ubavu wa kwenda nae 2-2 aggregate kama sie
 
March 10, 2018

Wolayta Dicoa (2) VS Zamalek SC (1) full Video – Ethiopia Hawassa Int. stadium

Wolayta Dicha F.C. is an Ethiopian football club based in Wolayta Soddo and established in 2009 by the Welayta Development Association

Source: FETRA PRODUCTION SEYA
 
Back
Top Bottom