SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
Akili kisodaHongera sana kwa Yanga kwa kazi ya kishujaa ya kuwatoa mabingwa wa Zanzibar, timu ngumu kabisa ya KVZ! π
Kwa kweli mmeonesha kiwango cha juu mno, mpaka tukabaki kushangaa.
Sasa safari yenu ya kimataifa inaendelea kwa kishindo β hatua inayofuata ni kumkabili mshindi kati ya Pyramids FC na Mamelodi Sundowns! π
Hakika huu ni mwaka wa maajabu, na Yanga mna nafasi ya kuandika historia mpya kabisa Tanzania na Afrika nzima!
Mkiendelea na moto huu huu wa kuwatoa vigogo kama KVZ, hakuna kitakachowazuia kule Cairo au Pretoria! π₯
Inaonekana mtakuwa timu ya kwanza Tanzania kufanya mambo yasiyowahi kutokea duniani β kuwapiga vigogo wa Afrika mfululizo baada ya kuwatoa KVZ! π
Simba SC tunawapongeza sana kwa mafanikio haya makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa!
Mwaka huu, dunia itashuhudia nguvu ya vijana wa Jangwani β ndani ya CAF mpaka kufundisha kina Sundowns adabu! π
Msimu wa ndoto umeanza rasmi kwa kutawala Zanzibar, sasa ni wakati wa kuteka Afrika nzima!
Haya sasa, mashabiki wa Yanga jiandaeni kwa supu ya Mbuzi mliowakimbia Kwa-Mkapa.! ππ
Uzuri haya mambo hayana mudaHongera sana kwa Yanga kwa kazi ya kishujaa ya kuwatoa mabingwa wa Zanzibar, timu ngumu kabisa ya KVZ! π
Kwa kweli mmeonesha kiwango cha juu mno, mpaka tukabaki kushangaa.
Sasa safari yenu ya kimataifa inaendelea kwa kishindo β hatua inayofuata ni kumkabili mshindi kati ya Pyramids FC na Mamelodi Sundowns! π
Hakika huu ni mwaka wa maajabu, na Yanga mna nafasi ya kuandika historia mpya kabisa Tanzania na Afrika nzima!
Mkiendelea na moto huu huu wa kuwatoa vigogo kama KVZ, hakuna kitakachowazuia kule Cairo au Pretoria! π₯
Inaonekana mtakuwa timu ya kwanza Tanzania kufanya mambo yasiyowahi kutokea duniani β kuwapiga vigogo wa Afrika mfululizo baada ya kuwatoa KVZ! π
Simba SC tunawapongeza sana kwa mafanikio haya makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa!
Mwaka huu, dunia itashuhudia nguvu ya vijana wa Jangwani β ndani ya CAF mpaka kufundisha kina Sundowns adabu! π
Msimu wa ndoto umeanza rasmi kwa kutawala Zanzibar, sasa ni wakati wa kuteka Afrika nzima!
Haya sasa, mashabiki wa Yanga jiandaeni kwa supu ya Mbuzi mliowakimbia Kwa-Mkapa.! ππ
Tanzania watu wengi wana akili ya Mbuzi...Mtaji wa CCM huu.
Ni ni lugha inayofanana na Kingereza lakini sio kingereza chenyewePeople may bright and smart until they speak. We receive
People may appear bright and smart until they speak. We receiveNi ni lugha inayofanana na Kingereza lakini sio kingereza chenyewe
Hiki ndio kingereza sasa. HongeraPeople may appear bright and smart until they speak. We receive
Hongera muhasibu kwa kuvuka. Naona una furaha tele hapoHiki ndio kingereza sasa. Hongera
Furushi la maneno ya kiingereza.Ni ni lugha inayofanana na Kingereza lakini sio kingereza chenyewe
Hapo chini paragraph moja ungeandika "tunamshukuru mama Samia Suluhu kwa kufanikisha hilo kutokea!!" ingekaa powa saanaπΏHongera sana kwa Yanga kwa kazi ya kishujaa ya kuwatoa mabingwa wa Zanzibar, timu ngumu kabisa ya KVZ! π
Kwa kweli mmeonesha kiwango cha juu mno, mpaka tukabaki kushangaa.
Sasa safari yenu ya kimataifa inaendelea kwa kishindo β hatua inayofuata ni kumkabili mshindi kati ya Pyramids FC na Mamelodi Sundowns! π
Hakika huu ni mwaka wa maajabu, na Yanga mna nafasi ya kuandika historia mpya kabisa Tanzania na Afrika nzima!
Mkiendelea na moto huu huu wa kuwatoa vigogo kama KVZ, hakuna kitakachowazuia kule Cairo au Pretoria! π₯
Inaonekana mtakuwa timu ya kwanza Tanzania kufanya mambo yasiyowahi kutokea duniani β kuwapiga vigogo wa Afrika mfululizo baada ya kuwatoa KVZ! π
Simba SC tunawapongeza sana kwa mafanikio haya makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa!
Mwaka huu, dunia itashuhudia nguvu ya vijana wa Jangwani β ndani ya CAF mpaka kufundisha kina Sundowns adabu! π
Msimu wa ndoto umeanza rasmi kwa kutawala Zanzibar, sasa ni wakati wa kuteka Afrika nzima!
Haya sasa, mashabiki wa Yanga jiandaeni kwa supu ya Mbuzi mliowakimbia Kwa-Mkapa.! ππ
AiseeHongera sana kwa Yanga kwa kazi ya kishujaa ya kuwatoa mabingwa wa Zanzibar, timu ngumu kabisa ya KVZ! π