Una mke mzuri sana mkuu
Aliyebuni jezi za yanga inabidi akamatwe haraka apewe kesi ya utakatishaji na uhujumu uchumi wallah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jezi zimekaa Kama zile sare za wawata[emoji23][emoji23]
Mwanae mzee Mpili🤣Aliyebuni jezi za yanga inabidi akamatwe haraka apewe kesi ya utakatishaji na uhujumu uchumi wallah!
Vinyesi si mnazibuana wenyewe huko na kina aisha manyulaWamesahau kuchora kinyesi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabwili shogaa ako anakuita huko.View attachment 2307372
Mabwabwa mnawashwa itakua
Muda ukifika mtaelewa tu nini maana ya ubunifu kutoka kwa mbunifu wa Kimataifa ndugu yetu Sheria Ngowi.Sasa huyu traffic police anasimamisha magari pale Jangwani??
Au mwendokasi pale Fire??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti.
Tate Mkuu njoo hapa utoe neno. View attachment 2307335
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie nacheka km mwehu, uwiioiiiiih.Yanga away kitView attachment 2307382
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataka nikupe offer, jezi 2 za kijani, nakununulia.Muda ukifika mtaelewa tu nini maana ya ubunifu kutoka kwa mbunifu wa Kimataifa ndugu yetu Sheria Ngowi.
By the way, next week naenda kuchukua uzi wangu mweusi.
Ushaanza kuingia hedhi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabwili shogaa ako anakuita huko.