Yanga SC Yazindua Jezi Rasmi za Msimu Mpya wa 2022/23

Yanga SC Yazindua Jezi Rasmi za Msimu Mpya wa 2022/23

Jezi zenyew hizi?
..
20220728_202358.jpg
 
Ya ngoswe mwachie ngoswe"

Mi hapana ngoswe sasa hv amezidi,jezi nzuri kinyama
 
Sasa huyu traffic police anasimamisha magari pale Jangwani??
Au mwendokasi pale Fire??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.

Tate Mkuu njoo hapa utoe neno. View attachment 2307335
Muda ukifika mtaelewa tu nini maana ya ubunifu kutoka kwa mbunifu wa Kimataifa ndugu yetu Sheria Ngowi.

By the way, next week naenda kuchukua uzi wangu mweusi.
 
Muda ukifika mtaelewa tu nini maana ya ubunifu kutoka kwa mbunifu wa Kimataifa ndugu yetu Sheria Ngowi.

By the way, next week naenda kuchukua uzi wangu mweusi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataka nikupe offer, jezi 2 za kijani, nakununulia.

Maskini hadi unalia shogaa angu, woiiiiiiiiiiih

Byuti byuti.
 
Back
Top Bottom