Yanga SC Yazindua Jezi Rasmi za Msimu Mpya wa 2022/23

Hamza wa ubalozini huyu hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamemuenzi, woiiiiiiiiiiih

Byuti byuti.
 
Ubunifu mzuri
 
Kama hujaona ramani ya nyumba yako kwenye jezi ya yanga basi tupigie kwenye namba yetu ya wizara ya ardhi. [emoji41][emoji41]
 
Kama hujaona ramani ya nyumba yako kwenye jezi ya yanga basi tupigie kwenye namba yetu ya wizara ya ardhi. [emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UDSM, Nkurumah hall ([emoji3590])

UDOM, Admission block ([emoji171])

Km hujaona chuo chako, fika haraka TCU uhakikiwe.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
 
Nimependa huu ubunifu kwenye home kit.

At least una jicho kali la kutambua iconic buildings.

Sheria Ngowi anahitaji pongezi kwa kweli.
 
Bila matusi, jazba, ushabiki, tujadili hili , kuhusu uzinduzi wa jezi za msimu mpya 2022/2023 kwa timu ya wananchi, Bila muhamashishaji wa timu hiyo ndugu H. S. Manara,
Nini maoni yako je kutokuwepo kwake katika hafla ya uzinduzi wa jezi hizo
Je wewe kama mwananchi umepata picha gani...
 
Bila matusi, bila jazba tujadili,au nini maoni yako kuhusu uzinduzi wa jezi za msimu mpya 2022/2023.. Bila muhamashishaji wa timu hiyo ndugu Sunday Manara,
Nini maoni yako je kutokuwepo katika hafla ya uzinduzi wa jezi hizo,umepata picha gani...
Unataka team imtumie ili wapigwe fine. Pamoja na tambo zote za manara hawazi kupewa platform kwenye club maana rungu litahamia kwa club.
Manara atumie tu hekima amalizane na TFF, vinginevyo ndio basi tena turamuona baada ya miska miwili akiitumikia club
 
Bila matusi, bila jazba tujadili,au nini maoni yako kuhusu uzinduzi wa jezi za msimu mpya 2022/2023.. Bila muhamashishaji wa timu hiyo ndugu Sunday Manara,
Nini maoni yako je kutokuwepo katika hafla ya uzinduzi wa jezi hizo,umepata picha gani...
Jezi zimepata wasemaji wengi kuliko matarajio hata Pengo la Manara halionekani,, makolo wamesaidia kuipa promo jezi
 
Nimependa huu ubunifu kwenye home kit.

At least una jicho kali la kutambua iconic buildings.

Sheria Ngowi anahitaji pongezi kwa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km mwehu, eti nn?? Poleeeeeh Ngowi kakutua na kukuacha mnyongee, weraaaaaaaah

Byuti byuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…