Yanga shikilieni hapo hapo! Kuna kitu Simba tunataka kujifunza

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
7,376
Reaction score
16,539
Msimamo uwe huo huo hamchezi,Msipeleke timu uwanjani Simba tupo kimya kuna kitu tunataka kujifunza.
Msipocheza baada ya Tar 15 tusipopata points za bure au msipokatwa points tutaenda kudai huko CAF na CAS halafu tuwafundishe namna kesi zinavyoenda,baada ya tar 15 kelele za Simba kudai points ndo zitaanza hatua stahiki zisipochukuliwa.
 
Screenshot_20250609_191028_Instagram.jpg
 
Msimamo uwe huo huo hamchezi,Msipeleke timu uwanjani Simba tupo kimya kuna kitu tunataka kujifunza.
Msipocheza baada ya Tar 15 tusipopata points za bure au msipokatwa points tutaenda kudai huko CAF na CAS halafu tuwafundishe namna kesi zinavyoenda,baada ya tar 15 kelele za Simba kudai points ndo zitaanza hatua stahiki zisipochukuliwa.
Wakati huo kuna waziri alipiga simu geti lisifunguliwe,atajulikana na yanga watapeleka kesi cas Ili nchi ifungiwe Ili tufaidi
 
Msimamo uwe huo huo hamchezi,Msipeleke timu uwanjani Simba tupo kimya kuna kitu tunataka kujifunza.
Msipocheza baada ya Tar 15 tusipopata points za bure au msipokatwa points tutaenda kudai huko CAF na CAS halafu tuwafundishe namna kesi zinavyoenda,baada ya tar 15 kelele za Simba kudai points ndo zitaanza hatua stahiki zisipochukuliwa.
Wakati huo kuna waziri alipiga simu geti lisifunguliwe,atajulikana na yanga watapeleka kesi cas Ili nchi ifungiwe Ili
 
Huyo waziri atakua shabiki Lia Lia wa yanga kwahiyo sidhani kama hata wakimjua wataweza kwenda huko.
 
Hunaga unalojua hapa jf wew ni kiazi😂, yaani wewe ambaye ndio sehemu ya tatizo upeleke kesi CAS?.
 
Huo ni uhuni wa Mwigulu Mchemba kukomoa Simba wasifanye mazoezi,haya madhara yote yametokana na yeye
Hujaupata mchezo, baada ya simba kuwa na majeruhi kuelekea game ya yanga,hivyo kuwa na hatari ya kupigwa nyingi,wakatafuta namna ya kukimbia derby, majaliwa piga simu geti lisifunguliwe, Simba tugomee mechi
 
Back
Top Bottom