Yanga shikilieni hapo hapo! Kuna kitu Simba tunataka kujifunza

Yanga shikilieni hapo hapo! Kuna kitu Simba tunataka kujifunza

Hujaupata mchezo, baada ya simba kuwa na majeruhi kuelekea game ya yanga,hivyo kuwa na hatari ya kupigwa nyingi,wakatafuta namna ya kukimbia derby, majaliwa piga simu geti lisifunguliwe, Simba tugomee mechi
Ungesema vijana kama kina mwanaFA ila mzee Majaliwa ukiangalia tu hata sura siyo mtu wa mambo hayo ya kihuni
 
Ungesema vijana kama kina mwanaFA ila mzee Majaliwa ukiangalia tu hata sura siyo mtu wa mambo hayo ya kihuni
Mwanafa sauti hana, majaliwa ndo anafit hapo elewa 'kiongozi mkubwa serikalini'
 
Back
Top Bottom