Wakati huo kuna waziri alipiga simu geti lisifunguliwe,atajulikana na yanga watapeleka kesi cas Ili nchi ifungiwe Ili tufaidiMsimamo uwe huo huo hamchezi,Msipeleke timu uwanjani Simba tupo kimya kuna kitu tunataka kujifunza.
Msipocheza baada ya Tar 15 tusipopata points za bure au msipokatwa points tutaenda kudai huko CAF na CAS halafu tuwafundishe namna kesi zinavyoenda,baada ya tar 15 kelele za Simba kudai points ndo zitaanza hatua stahiki zisipochukuliwa.
Wakati huo kuna waziri alipiga simu geti lisifunguliwe,atajulikana na yanga watapeleka kesi cas Ili nchi ifungiwe IliMsimamo uwe huo huo hamchezi,Msipeleke timu uwanjani Simba tupo kimya kuna kitu tunataka kujifunza.
Msipocheza baada ya Tar 15 tusipopata points za bure au msipokatwa points tutaenda kudai huko CAF na CAS halafu tuwafundishe namna kesi zinavyoenda,baada ya tar 15 kelele za Simba kudai points ndo zitaanza hatua stahiki zisipochukuliwa.
Huyo waziri atakua shabiki Lia Lia wa yanga kwahiyo sidhani kama hata wakimjua wataweza kwenda huko.Wakati huo kuna waziri alipiga simu geti lisifunguliwe,atajulikana na yanga watapeleka kesi cas Ili nchi ifungiwe Ili
Hujaupata mchezo, baada ya simba kuwa na majeruhi kuelekea game ya yanga,hivyo kuwa na hatari ya kupigwa nyingi,wakatafuta namna ya kukimbia derby, majaliwa piga simu geti lisifunguliwe, Simba tugomee mechiHuo ni uhuni wa Mwigulu Mchemba kukomoa Simba wasifanye mazoezi,haya madhara yote yametokana na yeye