Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,539 Jun 9, 2025 Thread starter #21 gallow bird said: Hujaupata mchezo, baada ya simba kuwa na majeruhi kuelekea game ya yanga,hivyo kuwa na hatari ya kupigwa nyingi,wakatafuta namna ya kukimbia derby, majaliwa piga simu geti lisifunguliwe, Simba tugomee mechi Click to expand... Ungesema vijana kama kina mwanaFA ila mzee Majaliwa ukiangalia tu hata sura siyo mtu wa mambo hayo ya kihuni
gallow bird said: Hujaupata mchezo, baada ya simba kuwa na majeruhi kuelekea game ya yanga,hivyo kuwa na hatari ya kupigwa nyingi,wakatafuta namna ya kukimbia derby, majaliwa piga simu geti lisifunguliwe, Simba tugomee mechi Click to expand... Ungesema vijana kama kina mwanaFA ila mzee Majaliwa ukiangalia tu hata sura siyo mtu wa mambo hayo ya kihuni
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 14,889 Reaction score 18,593 Jun 9, 2025 #22 Dabil said: Ungesema vijana kama kina mwanaFA ila mzee Majaliwa ukiangalia tu hata sura siyo mtu wa mambo hayo ya kihuni Click to expand... Mwanafa sauti hana, majaliwa ndo anafit hapo elewa 'kiongozi mkubwa serikalini'
Dabil said: Ungesema vijana kama kina mwanaFA ila mzee Majaliwa ukiangalia tu hata sura siyo mtu wa mambo hayo ya kihuni Click to expand... Mwanafa sauti hana, majaliwa ndo anafit hapo elewa 'kiongozi mkubwa serikalini'