Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Ndiyo,kama unaona tunafaidi iambie tff wawatoe hao uliowataja kwenye Ligi yetuWakati huo huo mtakuwa mnaendelea kutoa dozi za hamsa kwa Kitayosi na Ihefu au mtaomba nazo ziahirishwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo,kama unaona tunafaidi iambie tff wawatoe hao uliowataja kwenye Ligi yetuWakati huo huo mtakuwa mnaendelea kutoa dozi za hamsa kwa Kitayosi na Ihefu au mtaomba nazo ziahirishwe?
Anajishaurisha,ahaaaaHuyu bwege Nazi hajielewi
Simba ilikua inawekewa viporo mpaka vitano
Timu zote zinamaliza ligi anabaki Simba na mechi tano mkononi
Saa HV analeta nyenyenyeeee
Objective what..!?Mngeomba tu mechi zenu ziahirishwe ili mkae chini vizuri muangalia wanaume wanavyotandaza objective football
Simba ndio yenye kikosi cha kauka nikuvae na iyo african league mmeshiriki kwa kuwa mmepewa vihela vya maandalizi ili vipunguze njaa zenu vinginevyo mlikuwa ampeleki timu maana mnajijua na kikosi chenu cha wachezaji wale wale kila mechi no rotation ni Kama mnatimiza masharti ya mganga!Yanga ina kikosi kizuri ila sijui kwa nini mnaogopa mechi wakati ndiyo shughuli inayowaweka mjini
Kama ulikuwa haujui basi ujue kwamba wakati wa michezo ya super league inachezwa, Simba hawatocheza mechi za ligi kuu wala klabu bingwa kama watakuwa wamefuzu hatua ya makundi. Hivyo watakuwa na michezo ya super league pekee hakuna cha ratiba kubanwa.Yanga wamekuwa na tabia ya kuomba mechi zao ziahirishwe pale wanapokuwa na mfululizo wa mechi . Ni juzi juzi tu hapa tulikuwa tunajadili ni kwa nini mechi ya Yanga vs KMC iliahirishwa ilhali Yanga walikuwa wacheze na katimu kadogo ka ASAS Djibouti kwa mechi zote zilitakiwa kuchezwa Dar es Salaam wakati huo huo Simba akicheza uwanja wa Manungu, Morogoro halafu akarudi kucheza Dar es Salaam na Azam akicheza Dar akaenda kucheza Ethiopia.
Nimeiangalia ratiba ya AFL la kiukweli imebana saaana. Baada ya Simba kucheza mechi ya kwanza na Al Ahly, italazimika kusafiri na kurudiana nao baada ya siku nne tu. Kwenye nusu fainali nako ndiyo usiseme, mechi za marudiano ziko baada ya siku tatu tu. Kutoka mechi ya pili ya nusu fainali hadi mechi ya kwanza ya fainali ni siku 4 tu.
Kwa hiyo nawasihi uto washukuru kikombe hiki wamekiepuka. Kama ulimkimbia timu dhaifu kama KMC kwa kumuogopa timu nyingine dhaifu kama ASAS, ungeweza kweli kutoana jasho na miamba hii kwa ratiba ngumu kama hii? Ila nasikia mganga wenu yuko jikoni amesharusha jini mikwaruzano huko Angola inayotishia kuiondoa Atletico Petroleos de Luanda ili Yanga ichukue nafasi yake.
R.I.P legend, mshindi wa kwanza wa African Ballon D'Or, Salif Keita.
usicheze na yanga wewe,kikosi cha yanga ni kipana na wachezaji wana staminaYanga wamekuwa na tabia ya kuomba mechi zao ziahirishwe pale wanapokuwa na mfululizo wa mechi . Ni juzi juzi tu hapa tulikuwa tunajadili ni kwa nini mechi ya Yanga vs KMC iliahirishwa ilhali Yanga walikuwa wacheze na katimu kadogo ka ASAS Djibouti kwa mechi zote zilitakiwa kuchezwa Dar es Salaam wakati huo huo Simba akicheza uwanja wa Manungu, Morogoro halafu akarudi kucheza Dar es Salaam na Azam akicheza Dar akaenda kucheza Ethiopia.
Nimeiangalia ratiba ya AFL la kiukweli imebana saaana. Baada ya Simba kucheza mechi ya kwanza na Al Ahly, italazimika kusafiri na kurudiana nao baada ya siku nne tu. Kwenye nusu fainali nako ndiyo usiseme, mechi za marudiano ziko baada ya siku tatu tu. Kutoka mechi ya pili ya nusu fainali hadi mechi ya kwanza ya fainali ni siku 4 tu.
Kwa hiyo nawasihi uto washukuru kikombe hiki wamekiepuka. Kama ulimkimbia timu dhaifu kama KMC kwa kumuogopa timu nyingine dhaifu kama ASAS, ungeweza kweli kutoana jasho na miamba hii kwa ratiba ngumu kama hii? Ila nasikia mganga wenu yuko jikoni amesharusha jini mikwaruzano huko Angola inayotishia kuiondoa Atletico Petroleos de Luanda ili Yanga ichukue nafasi yake.
R.I.P legend, mshindi wa kwanza wa African Ballon D'Or, Salif Keita.
Jamaa kichwa siyo kizima, unapiga hesabu za nusu fainali wakati Simba anacheza mechi mbili za kushiriki! ni mechi ambazo hata Kariakoo Matket FC angezicheza kwenye haya mashindano.Yanga wamekuwa na tabia ya kuomba mechi zao ziahirishwe pale wanapokuwa na mfululizo wa mechi . Ni juzi juzi tu hapa tulikuwa tunajadili ni kwa nini mechi ya Yanga vs KMC iliahirishwa ilhali Yanga walikuwa wacheze na katimu kadogo ka ASAS Djibouti kwa mechi zote zilitakiwa kuchezwa Dar es Salaam wakati huo huo Simba akicheza uwanja wa Manungu, Morogoro halafu akarudi kucheza Dar es Salaam na Azam akicheza Dar akaenda kucheza Ethiopia.