Yanga shukuruni maana ratiba ya African Football League msingeiweza

Ndiyo,kama unaona tunafaidi iambie tff wawatoe hao uliowataja kwenye Ligi yetu
Mngeomba tu mechi zenu ziahirishwe ili mkae chini vizuri muangalia wanaume wanavyotandaza objective football
 
Yanga ina kikosi kizuri ila sijui kwa nini mnaogopa mechi wakati ndiyo shughuli inayowaweka mjini
Simba ndio yenye kikosi cha kauka nikuvae na iyo african league mmeshiriki kwa kuwa mmepewa vihela vya maandalizi ili vipunguze njaa zenu vinginevyo mlikuwa ampeleki timu maana mnajijua na kikosi chenu cha wachezaji wale wale kila mechi no rotation ni Kama mnatimiza masharti ya mganga!
 
Kama ulikuwa haujui basi ujue kwamba wakati wa michezo ya super league inachezwa, Simba hawatocheza mechi za ligi kuu wala klabu bingwa kama watakuwa wamefuzu hatua ya makundi. Hivyo watakuwa na michezo ya super league pekee hakuna cha ratiba kubanwa.
 
usicheze na yanga wewe,kikosi cha yanga ni kipana na wachezaji wana stamina
 
Jamaa kichwa siyo kizima, unapiga hesabu za nusu fainali wakati Simba anacheza mechi mbili za kushiriki! ni mechi ambazo hata Kariakoo Matket FC angezicheza kwenye haya mashindano.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…