Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Power Dynamos wana jambo lao.Yanga siipendi na ninaichukua hadi siku ya kiama lkn kwa namna nilivoiona El Merreikh Leo ikishinda kwa taabu na kwa vile El Mereikh itaanzia kwao na kwao wamechagua kuwa ni Rwanda, naamini Utopolo ingawa ni wabovu watavuka stage hii.
Mereikh wameshinda kwa taabu sana hatua ya kwanza.
Hao wepesi kwa makolo
Kidogo kidogo mtaanza kutubu, mara hii mnaanza kuona timu zote zitazocheza na yanga ni mbovu, kwa nini msikubali ubora wa yanga? Yanga itazifanya timu zote zionekane mbovu kama msimu uliopita kombe la shirikishoYanga siipendi na ninaichukua hadi siku ya kiama lkn kwa namna nilivoiona El Merreikh Leo ikishinda kwa taabu na kwa vile El Mereikh itaanzia kwao na kwao wamechagua kuwa ni Rwanda, naamini Utopolo ingawa ni wabovu watavuka stage hii.
Mereikh wameshinda kwa taabu sana hatua ya kwanza.
Bora wewe umeamua kuisapot Yanga mapemaaa...Tena kijanja zaidi... HONGERAYanga siipendi na ninaichukua hadi siku ya kiama lkn kwa namna nilivoiona El Merreikh Leo ikishinda kwa taabu na kwa vile El Mereikh itaanzia kwao na kwao wamechagua kuwa ni Rwanda, naamini Utopolo ingawa ni wabovu watavuka stage hii.
Mereikh wameshinda kwa taabu sana hatua ya kwanza.