Yanga siipendi na ninaichukia kuliko kitu chochote duniani ila El Mereikh niliyoiona haina ubavu wa kuiondoa YANGA

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Yanga siipendi na ninaichukua hadi siku ya kiama lkn kwa namna nilivoiona El Merreikh Leo ikishinda kwa taabu na kwa vile El Mereikh itaanzia kwao na kwao wamechagua kuwa ni Rwanda, naamini Utopolo ingawa ni wabovu watavuka stage hii.

Mereikh wameshinda kwa taabu sana hatua ya kwanza.
 
"kolo na Uto ukiona mtu anashabikia izo timu na kuzijadili muda wote ujue hana fyucha ya maisha ni mjinga mjinga tu"

Alisikika Mlevi mmoja pembeni ya Edo kumwembe
 
Yanga siipendi na ninaichukua hadi siku ya kiama lkn kwa namna nilivoiona El Merreikh Leo ikishinda kwa taabu na kwa vile El Mereikh itaanzia kwao na kwao wamechagua kuwa ni Rwanda, naamini Utopolo ingawa ni wabovu watavuka stage hii.

Mereikh wameshinda kwa taabu sana hatua ya kwanza.
Power Dynamos wana jambo lao.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Yanga siipendi na ninaichukua hadi siku ya kiama lkn kwa namna nilivoiona El Merreikh Leo ikishinda kwa taabu na kwa vile El Mereikh itaanzia kwao na kwao wamechagua kuwa ni Rwanda, naamini Utopolo ingawa ni wabovu watavuka stage hii.

Mereikh wameshinda kwa taabu sana hatua ya kwanza.
Kidogo kidogo mtaanza kutubu, mara hii mnaanza kuona timu zote zitazocheza na yanga ni mbovu, kwa nini msikubali ubora wa yanga? Yanga itazifanya timu zote zionekane mbovu kama msimu uliopita kombe la shirikisho
 
Yanga siipendi na ninaichukua hadi siku ya kiama lkn kwa namna nilivoiona El Merreikh Leo ikishinda kwa taabu na kwa vile El Mereikh itaanzia kwao na kwao wamechagua kuwa ni Rwanda, naamini Utopolo ingawa ni wabovu watavuka stage hii.

Mereikh wameshinda kwa taabu sana hatua ya kwanza.
Bora wewe umeamua kuisapot Yanga mapemaaa...Tena kijanja zaidi... HONGERA
 
Back
Top Bottom