Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Yanga siipendi na ninaichukua hadi siku ya kiama lkn kwa namna nilivoiona El Merreikh Leo ikishinda kwa taabu na kwa vile El Mereikh itaanzia kwao na kwao wamechagua kuwa ni Rwanda, naamini Utopolo ingawa ni wabovu watavuka stage hii.
Mereikh wameshinda kwa taabu sana hatua ya kwanza.
Mereikh wameshinda kwa taabu sana hatua ya kwanza.