Yanga sio mabingwa wa kihistoria (Simba yupo 22 na Yanga pia)

Yanga sio mabingwa wa kihistoria (Simba yupo 22 na Yanga pia)

Hili swali sijui kwa nn hataki kulijibu. Mwaka 2000 Mtibwa ananyanyua kwapa tena juzi tu hapa watu wanakula mbunye na wako humu leo hii anataka kuifuta historia ya 2000!
Nimeweka references mpaka nimechoka mnaendelea kuuliza swali hilo tu.

Nimejaribu kuwafundisha hamtaki.
Kabla ya mabadiliko ya kisheria na matokeo yake tukapata TFF ligi kuu ilikuwa ikijumuisha team za Bara na Visiwani.

Zilikuwa zikichukulia Team kutoka bara na Zingine kutoka visiwani ligi inapigwa na anapatikana mshindi wa lingi kuu.

Sasa basi mtanange wa mwaka 2000 ulikuwa kama ifuatavyo.
Zilianza kuchezwa ligi za kikanda na kisha zikapatikana team mbili mbili kutoka kila kanda. Ikapigwa Super Eight Championship Playoff. Zilikuwa zinatakiwa team tatu.
Ambapo Mtibwa, Yanga na Kajumulo FC zilioatikana.
Baada ya

Super League 2000
Ambapo yanga aliibuka kidedea.
1.Yanga 10 5 4 1 21- 7 19 Champions
2.Mtibwa 10 5 3 2 15- 8 18 [14-7?]
3.Kipanga 10 3 4 3 9-14 13
4.Kajumulo 10 3 4 3 8- 9 13
5.Polisi 10 2 4 4 10-11 10
6.Mafunzo 10 2 1 7 9-23 7
 
Usipende kuongea tu bila references
Check comment yangu #163

Mkuu Venus Star, thread yako imenitafakarisha sana juu ya uwezo wa wakufikiri kwa baadhi ya wajinga wenzangu humu JF.

1. Umejitahidi sana mpaka kuweka references, ambayo hata mimi mwenyewe mpaka sasa nimeshindwa kuelewa, kwanini kwenye Official website waandike mara 27, lakini ukihesabu miaka unakuta ni 22.!?

2. Watu tunakujibu kwa mihemko na kejeli, lakini hatusemi why , kwenye Official website kuna mapungufu kama hayo!?

3. Na kama kuna makosa kwanin Club isirekebishe kwa kuongeza miaka iliyokosekana kwenye orodha iliyo wekwa ili kuepuka sintofahamu kama hii.!?

Watu tunahangaika na kutoa kejeli sana, lakini ukweli tunashindwa kukujibu swali lako la msingi!.

Kiukweli umetushinda kwa hoja! labda kama kuna taarifa tofauti na zilizowekwa kwenye website juu ya kunyakua hilo taji la ligi kuu.
 
Kuna mdau hapo juu kauliza kuhusu Mtibwa sugar amekataa kujibu hizo reference zinapotosha
 
Kuna mdau hapo juu kauliza kuhusu Mtibwa sugar amekataa kujibu hizo reference zinapotosha
Wewe jamaa nitaongea mpaka nitachoka. Maana wewe huelewi umejikita kwenye ushabiki maandazi.
Ligi ya mwaka 2000 Yanga alichukua ubingwa.
Ligi ilikuwa inahusisha Bara na Visiwani.
Mtibwa alikuwa nafasi ya kwanza Bara lakini kwenye Championship alichukua Yanga.
Pitia hapa ligi yote na mechi zake.
 
Jibuni Swali
Kwanini Web ya Yanga imeandikwa kwamba wamechukua Ubingwa mala 27 lakini kwenye idadi ya miaka wameweka miaka 22 tu.

Hebu mlijibu hili kwanza halafu tuanze hoja nyingine.
 
Wewe jamaa nitaongea mpaka nitachoka. Maana wewe huelewi umejikita kwenye ushabiki maandazi.
Ligi ya mwaka 2000 Yanga alichukua ubingwa.
Ligi ilikuwa inahusisha Bara na Visiwani.
Mtibwa alikuwa nafasi ya kwanza Bara lakini kwenye Championship alichukua Yanga.
Pitia hapa ligi yote na mechi zake.
Kolos nyie mmekomaa na historia ya Yanga mkasahau mechi ya Mbeya.. 🤣😂😅🤣😂
 
Leo nimejaribu kufuatilia documents kila kona nimekuja kupata taarifa kuwa yanga yupo na makombe 22 ya ligi huku simba hapo awali alijulikana Sunderland naye yupo na makombe 22 ya ligi. Nashindwa kuelewa yanga anajiita bingwa wa kihistoria kwa kigezo kipi!?

RECORD HII HAPA

Dar es Salaam League
1944- Sunderland (Dar es Salaam)
1945 not known
1946 - Sunderland (Dar es Salaam)
1947-63 not known
1964 - Cosmopolitans (Dar es Salaam)
national (mainland) league
1965 - Sunderland (Dar es Salaam)
1966 - Sunderland (Dar es Salaam)
1967 - Cosmopolitans (Dar es Salaam)
1968 - Young Africans (Dar es Salaam)
1969 - Young Africans (Dar es Salaam)
1970 - Young Africans (Dar es Salaam)
1971 - Young Africans (Dar es Salaam)
1972 - Young Africans (Dar es Salaam)
1973 - Simba (Dar es Salaam)
1974 - Young Africans (Dar es Salaam)
1975 - Mseto Sports (Morogoro)
1976 - Simba (Dar es Salaam)
1977 - Simba (Dar es Salaam)
1978 - Simba (Dar es Salaam)
1979 - Simba (Dar es Salaam)
1980 - Simba (Dar es Salaam)
1981 - Young Africans (Dar es Salaam)
1982 - Pan African (Dar es Salaam)
1983 - Young Africans (Dar es Salaam)
1984 - KMKM (Zanzibar)
1985 - Tukuyu Stars(Rungwe)
1986 - Maji Maji (Songea)
1987 - Young Africans (Dar es Salaam)
1988 - African Sports (Tanga)
1989 - Malindi
1990 - Pamba (Shinyanga)
1991 - Young Africans (Dar es Salaam)
1992 - Malindi
1993 - Simba (Dar es Salaam)
1994 - Simba (Dar es Salaam)
1995 - Simba (Dar es Salaam)
1996 - Young Africans (Dar es Salaam)
1997 - Young Africans (Dar es Salaam)
1998 - Maji Maji (Songea)
1999 - Prisons (Mbeya)
2000 - Young Africans (Dar es Salaam)
2001 - Simba (Dar es Salaam)
2002 - Simba (Dar es Salaam)
2003 - not awarded (*)
Tanzania Mainland (Tanzania Bara)
2004 - Simba (Dar es Salaam)
2005 - Young Africans (Dar es Salaam)
2006 - Young Africans (Dar es Salaam)
2007 - Simba (Dar es Salaam) [mini-league]
2008 - Young Africans (Dar es Salaam)
2009 - Young Africans (Dar es Salaam)
2010 - Simba (Dar es Salaam)
2011 - Young Africans (Dar es Salaam)
2012 - Simba (Dar es Salaam)
2013 - Young Africans (Dar es Salaam)
2014 - Azam FC (Dar es Salaam)
2015 - Young Africans (Dar es Salaam)
2016 - Young Africans (Dar es Salaam)
2017 - Young Africans (Dar es Salaam)
2018 - Simba (Dar es Salaam)
2019 - Simba (Dar es Salaam)
2020 - Simba (Dar es Salaam)
2021 - Simba (Dar es Salaam)
2022 -
mhh wametisha mno
 
Back
Top Bottom