Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuwasemi mkuu ila tunashauri mchomoe mwiko nyuma tuweze kushindana kwenye ligi ya soka nchini. Mmekalia utopolo tu badala ya kujenga timu.
Tengenezeni timu ya ushindani ndani na nje ya nchi sio mnasajili kuifunga Simba pekee
Yote hiyo unaipata pale UTOPOLONI kwa size tofauti na ukiwekewa unakula kiapo Daima mbele NYUMA MWIKO hakuna kutoaBado najioanga ninataka kuanzisha thread inayohusu miko mbalimbali duniani. Ninataka niongolee aina miko.
1. Mwiko wa kupakulia
2. Mwiko wa kuchotea
3. Mwiko wa kusongea
4. Mwiko wa kukorogea.
Nitaongelea miko mikubwa na midogo. Nitaongelea timu mbalimbali na miko yao. Je, hiyo miko wanaitumiaje!?
Nitaongelea miko mingine ya nyuma.
Basi najipanga kisawa sawa niongele vyema kabisa.
Toka KMKMMashabiki wa simba wamepagawa na chuma kinachoshuka jangwani leo
Huyo captain wa KMKM alishuka jana. subiri chuma leo.Toka KMKM
Na alivyoondoka simba kwenda berkane nako alikimbia kukaa bench simba?.Ninavyojua mimi wachezaji kuhama vilabu ni jambo la kawaida itategemea na maslahi na mipango ya kocha.mambo mengine ni kukosa uelewa tu.Ndo maana hata yanga kuna makambo ambaye alishacheza yanga nasasa karudi yanga na anaanzia bench.Chama amekimbia benchi Morroco na si vinginevyo.
Nampongeza kwa hilo kwa kuokowa kipaji chake badala ya kuangalia pesa tu.
Hivi Gadiel Michael bado yupo Simba au alishatolewa kwa mkopo? Maana si kwa benchi mnalomuweka, ndio mambo aliyoyakimbia Chama.
Mashabiki wa Simba ni haters wa timu ya Yanga na wa Yanga haters wa timu SimbaView attachment 2081847
Hawa Utopolo Simba ilipomuuza Chama walipiga domo sana,kwamba Simba imeuza mchezaji muhimu. Sasa limetokea la kutokea leo wanasema Chama amefulia ndo maana amerudi. Hawa ni haters, chuki za kichawi. Mchawi huwa anachukia bila sababu.
[emoji599]Moja ya sababu kubwa zaidi ukiachana na yeye kutoendana na maisha Berkane ilikuwa pia watoto wake kukaa nao mbali hakuwa tayari
[emoji599]Berkane walitaka kwenda kumpa Makazi Jijini Casablanca ambapo ilikuwa mwendo wa Masaa sita kutoka Berkane mpaka Casablanca hivyo bado aliona Kuna umbali Mkubwa
[emoji599]Berkane walifanya Kila kitu kumbakisha Triple C ila haikuwezekana na mara zote aliomba kuondoka na Simba ndio ilikuwa jibu lake
[emoji419]Kwa wanaoamini Chama ameisha basi mkumbuke kuwa mechi ya mwisho alikuwa Man of the match na kiwango bora sana ikiwa ni muda mchache baada ya kutoka kwenye majeraha.
Pana siyo mtesi wa Yanga kwani wameshinda marangapi chama akiwemo?Mwamba wa Lusaka mtesi wa Yanga in town. Wanayanga wamefanikiwa kumsajili kijana kutoka KMKM
akijibu nitagNa alivyoondoka simba kwenda berkane nako alikimbia kukaa bench simba?.Ninavyojua mimi wachezaji kuhama vilabu ni jambo la kawaida itategemea na maslahi na mipango ya kocha.mambo mengine ni kukosa uelewa tu.Ndo maana hata yanga kuna makambo ambaye alishacheza yanga nasasa karudi yanga na anaanzia bench.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ha
Pana siyo mtesi wa Yanga kwani wameshinda marangapi chama akiwemo?
Kwani cha ajabu hapo nini,tuma na pale tjlipo wapiga
Eheee!Mkuu nendeni CAS kupinga usajili wa mchezaji aliyekuwa anasugua benchi Morocco kusajiliwa na mabingwa wa soka nchini Tanzania. 😄😄