Yanga sio watani wa jadi tena, ni haters

Yanga Ni Ya Kuipuuza Tu Msipoteze Muda Wetu
Genge La Wahuni Wachache Wanangoja Kuona Penati Ya Mapinduzi Inadondokea Wapi
 
Tunashindana. Na ndio maana tumebeba hilo kombe mara nyingi zaidi
Hatuwasemi mkuu ila tunashauri mchomoe mwiko nyuma tuweze kushindana kwenye ligi ya soka nchini. Mmekalia utopolo tu badala ya kujenga timu.

Tengenezeni timu ya ushindani ndani na nje ya nchi sio mnasajili kuifunga Simba pekee
 
Mashabiki wa simba wamepagawa na chuma kinachoshuka jangwani leo
 
Yote hiyo unaipata pale UTOPOLONI kwa size tofauti na ukiwekewa unakula kiapo Daima mbele NYUMA MWIKO hakuna kutoa
 
Yanga kuchukua kombe lolote mbele ya Simba ni hadithi... utopolo maumivu yameanza rasmi
 
Chama hana baya morocco..kila kitu kiko wazi..mpira ni mchezo wa wazi,ngoja aingie uwanjani utopolo mrudi hapa..
 
Na alivyoondoka simba kwenda berkane nako alikimbia kukaa bench simba?.Ninavyojua mimi wachezaji kuhama vilabu ni jambo la kawaida itategemea na maslahi na mipango ya kocha.mambo mengine ni kukosa uelewa tu.Ndo maana hata yanga kuna makambo ambaye alishacheza yanga nasasa karudi yanga na anaanzia bench.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hayo maneno ndo utani wenyewe mkuu

Talaka Rejea
 
Mashabiki wa Simba ni haters wa timu ya Yanga na wa Yanga haters wa timu Simba

Hivi vitu vipo,vilikuwepo na vitaendelea kuwepo...ukiwa shabiki wa timu yoyote kati ya hizo mbili we tayari ni nusu kichaaa,ni vile tu hamtaki kukubali ukweli kwamba nyie wote ni nusu vichaa
 
Chama ni mchezaji mzuri kwa simba na yanga, kuna mchezaji anaitwa Denis Onyango huyu ni mzuri kwa simba na ni mbaya kwa yanga, amekua na madhara sana kwa yanga zinapokutana hizi timu mbili.

Katika mechi zote simba ilipocheza na yanga, Chama ameleta madhara kwenye mechi moja tu iliyokua ya FA.
 
akijibu nitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…