Yanga the African galacticos

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Hakuna shaka kabisa sasa Timu ya wananchi Dar es Salaam Young Africans inaenda kuwa timu ya vigogo na masuperstars wa Africa...a.k.a African galaticos.

Kila la kheri Engeneer Hersi na GSM.
 
Hakuna shaka kabisa sasa Timu ya wananchi Dar es Salaam Young Africans inaenda kuwa timu ya vigogo na masuperstars wa Africa...a.k.a African galaticos.
Kila la kheri Engeneer Hersi na GSM.
hatariiiiiiii!!!!
 
Medeama katuletea kelele mji mzima
Nimewasikia mahali kuwa mchezaji wao atapata kiatu cha dhahabu. Wana uhakika WA kuingia robo fainali. Wana ugonjwa Mkubwa WA 'infiriority complex'. Mwakalobo wanayoicheka Simba ndio inawafanya kuwa kwenye Kumi Bora. Mechi ya Jana wanakaa vikundi vikundi wanadiscuss.
 
Simba mwakarobo ndio wanaifanya yanga kuwa kwenye 10 bora?
Final confederation mliwapeleka nyie makolo?
Nyie Mbumbumbu mna shida haswa
 
Mbona hamueleweki, mara mmekuwa Barcelona, mara hii tena Yanga ni Madrid ya akina Figo, zidane na de Lima. Tumsikilize nani sasa.
 
Kiatu cha dhahabu kwa ajili ya nini?

Ana birthday?
 
Kwenye mashindano yanayoendelea. Aliewafunga vibonde WA Jana ndie atakuwa mfungaji Bora.
Nani kakuongopea?

Kuna Sankara Karamoto wa Asec ana goli 4

Halafu pia kuna wachezaji kama watano wamegongana kwa kuwa na idadi sawa ya mabao ya goli 2.

Hao wachezaji wapo ambao wana mechi nyepesi wanaweza wakaongeza na kumfikia huyo Mhaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…