Yanga the African galacticos

Yanga the African galacticos

Hakuna shaka kabisa sasa Timu ya wananchi Dar es Salaam Young Africans inaenda kuwa timu ya vigogo na masuperstars wa Africa...a.k.a African galaticos.
Kila la kheri Engeneer Hersi na GSM.
JINGALAO
 
Hakika Yanga hii ni calacticos weusi
 
Eh jamani jingalao ulipotelea wapi? Kitambo sana.
Naunga mkono hoja yako... ukiwa na Pacome, Aziz Ki, Diarra, Yao, Max, Aucho, Lomalisa, Bacca n.k hakuna namna unashindwa kuwa kigogo.
nipo swahiba kazi zimebana
 
Nani kakuongopea?

Kuna Sankara Karamoto wa Asec ana goli 4

Halafu pia kuna wachezaji kama watano wamegongana kwa kuwa na idadi sawa ya mabao ya goli 2.

Hao wachezaji wapo ambao wana mechi nyepesi wanaweza wakaongeza na kumfikia huyo Mhaya.
Ndivyo wanavyojidanganya kwenye vijiwe.
 
Yanga wanakipiga haswa hapa Zanzibar
 
Huu ushindi sio wa Yanga tu,ni ushindi wa ukanda huu wa Afrika na kusini mwa Afrika.
 
Hongereni sana kwa parade la kipekee
 
Lini ubingwa wa afrika ilitwaa? Itwae na tuone nyota wengi toka kila pembe ya afrika ndio tutaona ni galacticos
 
Back
Top Bottom