JINGALAOHakuna shaka kabisa sasa Timu ya wananchi Dar es Salaam Young Africans inaenda kuwa timu ya vigogo na masuperstars wa Africa...a.k.a African galaticos.
Kila la kheri Engeneer Hersi na GSM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JINGALAOHakuna shaka kabisa sasa Timu ya wananchi Dar es Salaam Young Africans inaenda kuwa timu ya vigogo na masuperstars wa Africa...a.k.a African galaticos.
Kila la kheri Engeneer Hersi na GSM.
Kama walivyo zileta wale wafu widade casablanca.Medeama katuletea kelele mji mzima
Ndivyo wanavyojidanganya kwenye vijiwe.Nani kakuongopea?
Kuna Sankara Karamoto wa Asec ana goli 4
Halafu pia kuna wachezaji kama watano wamegongana kwa kuwa na idadi sawa ya mabao ya goli 2.
Hao wachezaji wapo ambao wana mechi nyepesi wanaweza wakaongeza na kumfikia huyo Mhaya.