Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
SAWA DADA KOLOSUtopolo wekeni dawa zenu za pressure kwenye mikoba wallet, mifukoni jmosi mtanyeshewa mvua nawapa tahadhari. Simba tunakazi moja ya kuwabutua butua goli za kunawiri.
The utopolaz a.k.a Yanga
ππππSasa kama shabiki mwenyewe unajiita Kichwamoto! Huoni na hiyo Jumamosi ikifika mtaishia tu kupelekewa moto na wananchi!
Yanga Round Ya Pili Inakata Pumzi