Yanga: The Utopolos Jmosi Tunawabutua

Yanga: The Utopolos Jmosi Tunawabutua

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Utopolo wekeni dawa zenu za pressure kwenye mikoba wallet, mifukoni jmosi mtanyeshewa mvua nawapa tahadhari. Simba tunakazi moja ya kuwabutua butua goli za kunawiri.

The utopolaz a.k.a Yanga
 
Utopolo wekeni dawa zenu za pressure kwenye mikoba wallet, mifukoni jmosi mtanyeshewa mvua nawapa tahadhari. Simba tunakazi moja ya kuwabutua butua goli za kunawiri.

The utopolaz a.k.a Yanga
SAWA DADA KOLOS
 
Inaonekana Mganga wenu aliyewashauri mkoke Moto kwenye Uwanja wa Orlando Pirates amewapa unabii mwingine.

Kila la kheri wanetu.
 
Back
Top Bottom