Yanga timu mbovu haiwezi kushinda bila timu pinzani kupewa kadi nyekundu. Simba timu bora imeshinda bila nyekundu

Unaandika huku unaumia na kuliaa weeee. Pole sana wachaga wanasema na mbadoo!
 
Kwahiyo YANGA walivyowabandua wale WANAWAKE 5-1..2-1..1-0..1-0 je? hao wanawake Sc walikuwa wana mapungufu ya wachezaji wao ?
 
kwa uzi huu sina shaka hamtaama ligi ili yanga a.k.a pdidy la mpira ijifaidie kolo fc
 
Unafungwaje na tabora sasa?

Yanga timu mbovu

Tabora 3 yanga 1
Azam 1 yanga 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…