kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Nimewasikia wanachama na mashabiki wa Yanga wakihamasishana kususia bidhaa zote za Azam kulipiza vîtendo vya Azam fc kutumia nguvu ya fedha kurubuni wachezaji wake wake muhimu. Waliwataja akina Ngoma, domayo, chirwa, mbui, Ngassa na Sasa Faisal.
Sina uhakika kama Azam fc inapokea maagizo kutoka kwa Mzee bakhressa kwenye Soka au ni viongozi TU wa Azam fc wanaofanya hivyo.
Tatizo ni kwamba ukiikwepa bidhaa ya Azam utakutana na Ile ya mo. Tabu inabakia palepale. Ligi inaonyeshwa Azam tv TU baasi.
Dawa pekee ni:
1. Kuwalipa vizuri wachezaji
2. Kuangalia vizuri vifungu kwenye mikataba ya wachezaji wenu.
3. Kuwashitaki wote wanaowarubuni wachezaji wenu kinyume na utaratibu.
Kuvunja mkataba wa matangazo na kususia bidhaa kutawaumiza sio TU Azam bali hata Yanga na wapenzi wa Yanga wenye ajira Azam..