Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Nadhani angalau tutumie busara kidogo tu, kwenye hili la Feisal Simba hawahusiki. Itoshe kuwa hivyo. Hapa tusifosi bifu.Inafahamika kuwa bakhressa ni Simba. unaweza SEMA hii ni vita ya Yanga vs Simba + Azam. Bahati mbaya wote hawaelewi ni kwa vipi wanachapwa wote kwampogo, Last time walimchumua Morrison kwa kusaidiwa na mamlaka, wakati huu ni Faisal. Mwisho wa msimu utaona mambo makubwa. Watawataka kwa nguvu akina diara, Mayele, Aziz, Bangala, job, kibwana wawe wao,
Hili la Feisal libaki kuwa ni la Yanga na Azam Fc.