Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Yupo kwa Wema S
Kapigwa uno la Singida hadi katenguliwa kiuno[emoji23][emoji23][emoji23]
Kusema kiwango chake kiko chini sidhani manake mechi zake 2 za mwisho ingawaje aliingia wakati akitoka majeruhi/kuumwa lakini bado alionesha kiwango cha kuridhisha. Labda kuna jambo na uongozi wa vyura wanaficha. Sema na yule "mzungu" anaonekana soft soft sana.Mbona hachezi wala kuwepo kwenye benchi, Anaumwa nini hadi lini? ameuzwa wapi? ametolewa kwa mkopo timu gani?, mmeshindwana mshahara? Kiwango chake kiko chini?
Haya ni maswali sisi wadau tunajiuliza
Aliumia nyonga mazoeziniMbona hachezi wala kuwepo kwenye benchi, Anaumwa nini hadi lini? ameuzwa wapi? ametolewa kwa mkopo timu gani?, mmeshindwana mshahara? Kiwango chake kiko chini?
Haya ni maswali sisi wadau tunajiuliza
Hata kama ameumia, basi angetokea mtu ndani ya yanga aseme kuwa carlinhos ameumia kidole gumba na atakuwa nje ya uwanja kwa miezi 7Kusema kiwango chake kiko chini sidhani manake mechi zake 2 za mwisho ingawaje aliingia wakati akitoka majeruhi/kuumwa lakini bado alionesha kiwango cha kuridhisha. Labda kuna jambo na uongozi wa vyura wanaficha. Sema na yule "mzungu" anaonekana soft soft sana.
Fafanua udau wako...Kama udau ni wa mikia hustahili kujua lolote...maana Kuna audio inatembea sijui mikia...Mbona hachezi wala kuwepo kwenye benchi, Anaumwa nini hadi lini? ameuzwa wapi? ametolewa kwa mkopo timu gani?, mmeshindwana mshahara? Kiwango chake kiko chini?
Haya ni maswali sisi wadau tunajiuliza
Hapo ungewauliza kwa nini Morrison hachezi, wangetiririka kila mmoja na neno lake, lakini kwa kumuulizia Carlinhos usitegemee kupewa jibuMbona hachezi wala kuwepo kwenye benchi, Anaumwa nini hadi lini? ameuzwa wapi? ametolewa kwa mkopo timu gani?, mmeshindwana mshahara? Kiwango chake kiko chini? Haya ni maswali sisi wadau tunajiuliza
Carlinhos yupo majeruhi aliumia mazoeziniHapo ungewauliza kwa nini Morrison hachezi, wangetiririka kila mmoja na neno lake, lakini kwa kumuulizia Carlinhos usitegemee kupewa jibu
Naye ni mzee? Maana niliambiwa kuwa wazee ndio wanachukua muda mrefu kupona majerajaCarlinhos yupo majeruhi aliumia mazoezini
Hujasikia wakisema aliumia nyonga?Hata kama ameumia, basi angetokea mtu ndani ya yanga aseme kuwa carlinhos ameumia kidole gumba na atakuwa nje ya uwanja kwa miezi 7
Fuatilia habari za Fraga kwanzaMbona hachezi wala kuwepo kwenye benchi, Anaumwa nini hadi lini? ameuzwa wapi? ametolewa kwa mkopo timu gani?, mmeshindwana mshahara? Kiwango chake kiko chini?
Haya ni maswali sisi wadau tunajiuliza