Yanga tuambieni Carlinhos yuko wapi?

Yanga tuambieni Carlinhos yuko wapi?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Mbona hachezi wala kuwepo kwenye benchi, Anaumwa nini hadi lini? ameuzwa wapi? ametolewa kwa mkopo timu gani?, mmeshindwana mshahara? Kiwango chake kiko chini?

Haya ni maswali sisi wadau tunajiuliza
 
Kusema kiwango chake kiko chini sidhani manake mechi zake 2 za mwisho ingawaje aliingia wakati akitoka majeruhi/kuumwa lakini bado alionesha kiwango cha kuridhisha. Labda kuna jambo na uongozi wa vyura wanaficha. Sema na yule "mzungu" anaonekana soft soft sana.
 
Aliumia nyonga mazoezini
 
Hata kama ameumia, basi angetokea mtu ndani ya yanga aseme kuwa carlinhos ameumia kidole gumba na atakuwa nje ya uwanja kwa miezi 7
 
Mbona hachezi wala kuwepo kwenye benchi, Anaumwa nini hadi lini? ameuzwa wapi? ametolewa kwa mkopo timu gani?, mmeshindwana mshahara? Kiwango chake kiko chini?

Haya ni maswali sisi wadau tunajiuliza
Fafanua udau wako...Kama udau ni wa mikia hustahili kujua lolote...maana Kuna audio inatembea sijui mikia...
 
Mbona hachezi wala kuwepo kwenye benchi, Anaumwa nini hadi lini? ameuzwa wapi? ametolewa kwa mkopo timu gani?, mmeshindwana mshahara? Kiwango chake kiko chini? Haya ni maswali sisi wadau tunajiuliza
Hapo ungewauliza kwa nini Morrison hachezi, wangetiririka kila mmoja na neno lake, lakini kwa kumuulizia Carlinhos usitegemee kupewa jibu
 
Yuko Tanga kaanzisha kikundi cha baikoko, ana vipaji vingi kaona cha soka kimeshuka kaamua kutoka kivingine.
 
Mbona hachezi wala kuwepo kwenye benchi, Anaumwa nini hadi lini? ameuzwa wapi? ametolewa kwa mkopo timu gani?, mmeshindwana mshahara? Kiwango chake kiko chini?

Haya ni maswali sisi wadau tunajiuliza
Fuatilia habari za Fraga kwanza
 
Back
Top Bottom