Sikiliza joni, Yanga wamechagua kuwekeza kwenye unbeaten ya ligi kuu na hilo wamefanikiwaNaunga mkono hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikiliza joni, Yanga wamechagua kuwekeza kwenye unbeaten ya ligi kuu na hilo wamefanikiwaNaunga mkono hoja
Anazidiwa uwezo sababu ya kipi wakati kwa Tanzania ndio timu tishio yenye record ya unbeaten. Kipi kinachopelekea wawe na uwezo duni kimataifa?Hafanyi vizuri sababu anazidiwa uwezo au hata mechi zake uangalii mbona zinaonyeshwa live
Mechi zinaonyeshwa live kuanzia ligi ya NBC mpaka CAF champion na confederation unataka useme NiniAnazidiwa uwezo sababu ya kipi wakati kwa Tanzania ndio timu tishio yenye record ya unbeaten. Kipi kinachopelekea wawe na uwezo duni kimataifa?
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Mbona haujibu swali uliloulizwa? Twende kwa hoja kama wewe ni mtu wa mpira kweli kweli. Kwanini timu iwe na uwezo duni kimataifa, shida ni nini?Mechi zinaonyeshwa live kuanzia ligi ya NBC mpaka CAF champion na confederation unataka useme Nini
Tanzania Kuna vituko sana mechi zinaonyeshwa live zote lakin anataka kutengeneza story yake anayeijua yeye alafu kuaminisha uma ni ngumu as long mechi zote zinaonyeshwa live
Kwani Simba imepata mafanikio gani kimataifa mafanikio kwenye mpira ni makombe ntajie kombe ambalo Simba ameshinda la kimataifaMbona haujibu swali uliloulizwa? Twende kwa hoja kama wewe ni mtu wa mpira kweli kweli. Kwanini timu iwe na uwezo duni kimataifa, shida ni nini?
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Swali linalihusu Yanga umelihamisha katika mafanikio ya Simba. Sawa nianze kwa kukupa somo la mafanikio.Kwani Simba imepata mafanikio gani kimataifa mafanikio kwenye mpira ni makombe ntajie kombe ambalo Simba ameshinda la kimataifa
Mafanikio ni makombe na sio kitu kingine, unahakika nilikua nalalamika Simba kupostiwaSwali linalihusu Yanga umelihamisha katika mafanikio ya Simba. Sawa nianze kwa kukupa somo la mafanikio.
Mafanikio ni kadri unavyotoka hatua moja kwenda hatua nyingine. Ni sawa sawa na mtu aliyekuwa anatembea kwa miguu siku zote sio kwa kupenda bali kutokana na uwezo wake duni akafikia hatua akanunua baiskeli au pikipiki. Hilo ni moja ya mafanikio kwasababu target yake ilikuwa ni kuondoka na adha ya kutembea kwa miguu. Au mwanafunzi asomapo shule kufaulu kutoka level moja hadi level nyingine ni moja ya mafanikio. Ukishindwa kusogea mbele zaidi maanake sio mafanikio.
Tuje kwenye mpira wa miguu
Michuano ya klabu bingwa CAF ina hatua sita
Ya awali, ya pili, makundi, robo fainali, nusu fainali na fainali
Mafanikio katika michuano ya CAF yanaanzia katika hatua ya makundi ila ukiishia zile hatua za chini unakuwa umepoteza tu muda.
1) Kwanzia hatua ya makundi timu zinaanza kupewa pesa kutoka CAF.
2) Kwanzia makundi, timu inapata coverage ya kuonekana Africa nzima na mabara mengine kwasababu main sponsor wa CAF ndio wanaanza kurusha matangazo ya michuano. Hivyo inakuwa ni sehemu ya kukuza brand ya timu.
kupitia mechi zinazorushwa na pili kupitia ukurasa rasmi wa CAF.
Siku sio nyingi mashabiki wa Yanga kulikuwa na kelele za kwanini Simba wanapostiwa sana kuliko Yanga kwenye ukurasa wa CAF hilo ni kutokana na kutengeneza vyema brand yao na kuonesha ni moja ya timu imara katika michuano ya kimataifa. Mwisho wa Yanga kupostiwa itakuwa ni tarehe 9 baada ya kutolewa. Na uzuri ni kwamba wenzetu Simba wanapostiwa kwa mazuri ila sisi Yanga tunapostiwa kwa kejeli kwasababu hatujadhirisha ubora wetu tokea mwaka 1998. Tuna lipi la kujivunia?
Simba wana la kujivunia kwasababu wameshatengeneza brand yao, wameshatengeneza jina la kuogepewa na kila timu hivyo kila tumu itakayocheza nayo ni lazima ajue kuwa anaenda Tanzania sehemu ambayo sio salama kwa mpinzani yeyote wa Simba. Simba kwaasa wanawaza jinsi ya kuvuke tu hatua mbili zilizobaki ili acheze faini. Yaani kama mbio kabakiza pafupi sana kufika mwisho tofauti na Yanga inayopambania kufuzu makundi tokea 1998.
Mafanikio mengine ni pesa au hujui kama unavyofuzu kwanzia makundi unapesa unaingiza? Na unavyozidi kwenda hatua inayofuata unaongeza kiwango cha pesa.
Point za timu unajua umuhimu wake? Simba mwenye point zaidi ya 30 hawezi kuwa sawasawa na yanga mwenye point 0.5 na msimu ujao itasoma 0. Point hizi ndio zinazoifanya Simba waanze ugenini dhidi ya timu zingine zilizo chini yake kwa ubora. Na ndio zilizoibeba Tanzania kuingiza timu nne kimataifa. Na ndio inayoweza kuifanya Simba isianzie hatua ya awali endapo timu shiriki zitakuwa ni chache. Na ndio zinazotengeneza rank ya timu na mashirikisho pia.
Hayo yangekuwa sio mafanikio basi CAF wangekuwa wanafanya hayo kwa wanachukua makombe tu.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Kwenye mbinu za kibongo nje ya uwanja!!
Umesema kweli kabisa!! Simba imetengeneza mazingira ya kuogopwa sana "kwa mkapa" na mazingira hayo yanaifanya Simba ijiamini sana "kwa mkapa". Lakini watani wetu wametengeneza mazingira ya kutojiamini hata "kwa mkapa" kwa hiyo watasubiri sana!Unabeaten ya bongo haina faida yeyote kulinganisha na michuano ya klabu bingwa. Kwanza ni kupata mapato, pili ni kukuza brand ya timu Africa, na tatu kutengeneza mazingira ya kuogopwa. Kwa sisi mashabiki wa Yanga tunawaona Simba kama vile wenzetu lakini timu zingine zote za Africa zinaposikia timu ya Simba lazima waingiwe na hofu kutokana na muendelezo mzuri wa kimafanikio. Hili jambo ni zuri sana la kujivunia hata kama ujachukua kombe lakini unaona umebakiza hatua kidogo za kupiga ili ucheze fainali kisha ufikirie namna ya kubeba kombe. Simba wametuacha mbali mno
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Unaumia ukiwa wapi ndugu?Mafanikio ni makombe na sio kitu kingine, unahakika nilikua nalalamika Simba kupostiwa
Simba ata apostiwe asubuhi mpaka jioni kama hajachukua kombe Hana mafaniko yeyote mafanikio sio kupostiwa
Hiyo kufika Robo fainal ni namna ya kujifariji lakin sio mafanikio
Swala sio kuumia mafanikio kwenye mpira ni makombe na sio kitu kingineUnaumia ukiwa wapi ndugu?
Kama nmekuelewa vyema Simba na Yanga wako sawa? Ok Simba yuko makundi kwa mara nyingine Yanga hayuko. Hapo unasemaje? Maana makundi ndio mlango wa kwenda huko kwenye mafanikio unayozungumzia wewe (kombe).Mafanikio ni makombe na sio kitu kingine, unahakika nilikua nalalamika Simba kupostiwa
Simba ata apostiwe asubuhi mpaka jioni kama hajachukua kombe Hana mafaniko yeyote mafanikio sio kupostiwa
Hiyo kufika Robo fainal ni namna ya kujifariji lakin sio mafanikio
Huyu ni mmoja wa wale mashabiki ambao wanatufanya Yanga tuonekane hamnazo. Na ndio mtaji mkubwa wa Hersi Said watu kama hawa. Wana uwelewa mdogo sana.Kama nmekuelewa vyema Simba na Yanga wako sawa? Ok Simba yuko makundi kwa mara nyingine Yanga hayuko. Hapo unasemaje? Maana makundi ndio mlango wa kwenda huko kwenye mafanikio unayozungumzia wewe (kombe).
Je mpaka hata tuliko wako sawa? Nijibu kwanza hilo
Ameshawahi kuwahi kubeba hilo kombe sababu hayo ndo mafanikioKama nmekuelewa vyema Simba na Yanga wako sawa? Ok Simba yuko makundi kwa mara nyingine Yanga hayuko. Hapo unasemaje? Maana makundi ndio mlango wa kwenda huko kwenye mafanikio unayozungumzia wewe (kombe).
Je mpaka hata tuliko wako sawa? Nijibu kwanza hilo