Yanga tukatae hawa waamuzi wenye nia ya kutuchafua Kuna kitu wanatengeneza

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Lilianza goal la mkono jamaa alipiga ngumi kabisa. Mwamuzi akatupa lile goal.

Jana ile haikuwa penalty kabisa. Kabisa haikuwa penalty tuseme tu ukweli bila ushabiki. Mwamuzi akatupa penalty. Lengo ilikuwa jana tushinde bao 5. Tunapambana kuwafikia mikia. Lakini tucheze na kushinda kwa halali.

Screenshot_2024-12-26-09-08-42-406_com.instagram.android~2.jpg
 
Huyu Saleh hana weledi, ana argue kama shabiki wa mtaani!

Mara ngapi Simba au timu zingine iwe Tanzania au hat huko Europe inanufaika au kuadhibika kwa madhambi ya uongo?

Mara ngapi penalty halali hazitolewi mbona hatusemi ni kamapeni?

Hiyo papatu papatu wanayocheza Simba siku si nyingi itakuja kuanikwa..
Yetu macho!
 
Lilianza goal la mkono jamaa alipiga ngumi kabisa. Mwamuzi akatupa lile goal.

Jana ile haikuwa penalty kabisa. Kabisa haikuwa penalty tuseme tu ukweli bila ushabiki. Mwamuzi akatupa penalty. Lengo ilikuwa jana tushinde bao 5. Tunapambana kuwafikia mikia. Lakini tucheze na kushinda kwa halali.

View attachment 3185341
Tokea lini ukawa yanga wewe kolo? Mmefaidika na magoli mangapi ya Rose mhando nyie na mlipokuwa mnaulizwa mnasema huo ndio ubaya ubwela? Sasa atutoweza kuwasaidia chochote mkae kimya kama mmeshikwa ugoni maana ata ya kwenu mlikenua tu na kijimwambafai sasa imekuwaje mnaanza Tena kutoa milio ya bundi?
 
Mbona kupaniki sana? Umekula kweli? Ule kwanza. Maana the hungry man is angry always.
 
Back
Top Bottom