Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Tokea lini ukawa yanga wewe kolo? Mmefaidika na magoli mangapi ya Rose mhando nyie na mlipokuwa mnaulizwa mnasema huo ndio ubaya ubwela? Sasa atutoweza kuwasaidia chochote mkae kimya kama mmeshikwa ugoni maana ata ya kwenu mlikenua tu na kijimwambafai sasa imekuwaje mnaanza Tena kutoa milio ya bundi?Lilianza goal la mkono jamaa alipiga ngumi kabisa. Mwamuzi akatupa lile goal.
Jana ile haikuwa penalty kabisa. Kabisa haikuwa penalty tuseme tu ukweli bila ushabiki. Mwamuzi akatupa penalty. Lengo ilikuwa jana tushinde bao 5. Tunapambana kuwafikia mikia. Lakini tucheze na kushinda kwa halali.
View attachment 3185341
Mbona kupaniki sana? Umekula kweli? Ule kwanza. Maana the hungry man is angry always.Tokea lini ukawa yanga wewe kolo? Mmefaidika na magoli mangapi ya Rose mhando nyie na mlipokuwa mnaulizwa mnasema huo ndio ubaya ubwela? Sasa atutoweza kuwasaidia chochote mkae kimya kama mmeshikwa ugoni maana ata ya kwenu mlikenua tu na kijimwambafai sasa imekuwaje mnaanza Tena kutoa milio ya bundi?
πππππ€£ππππ€£π€£Ukiwasikia utopolo wenyewe wanavyofurahia vya kuvunda
Kipenga Cha mwisho wamechambua vizuri goli la offside na penati ya mchongo chini ya Aragija.Na la offside la Dube