Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni Zalan FC ,wamekaa kiporipori ,tukitolewa sura zetu tutaziweka wapi?View attachment 2334591
Hawa muwapige nyingi kisha muwape msaada wa viatu na jezi,wachovu sana mtapata thawabuHata viatu yenyewe shida
Hawa hata muonekano tu hamna timu hapo mshindwe wenyewe tuSimba walisema hivyo dhidi ya depungu textile ya Msumbiji yaani mafundi cherehani wa Msumbiji, hawakujifunza Wakaja wakakutana na Ud Songo Waka kalishwa. Mpinzani atakama unahisi ni kibonde usimchukulie poa, Fanya maandalizi ya kutosha.
Ata Yanga anafanikiwa ku mtandika Simba kwakua amchukulii poa atakama Simba ni kibonde wa Yanga tangu Karne ya 19.
Hii ni aibu kwa CAF club gan hiyooHawa ni Zalan FC ,wamekaa kiporipori ,tukitolewa sura zetu tutaziweka wapi?View attachment 2334591