Yanga tukitolewa na hii club itakuwa aibu sana

Yanga tukitolewa na hii club itakuwa aibu sana

Sisi Nyasa Big Bullets tunasubiria tu kuanza safari ya kuja kumchinja mnyama huko Tanzania.
 
Hao jamaa wanayo nauli ya kuja kwa Mkapa kweli?
Nauli ya kuja wanayo! Ile ya kurudia na mahitaji yao mengine muhimu kama chakula, malazi, shopping pale Kariakoo, nk. tutawapatia.

Hivyo ondoa kabisa shaka. Wananchi tuna hela.
 
Wewe umeshajifungua au bado unaburuza hilo tumbo lako?
Tuliza wowowo basi wewe kolo
IMG_20220826_200500.jpg
 
Back
Top Bottom