Yanga tukitolewa na hii club itakuwa aibu sana

Sisi Nyasa Big Bullets tunasubiria tu kuanza safari ya kuja kumchinja mnyama huko Tanzania.
 
Hao jamaa wanayo nauli ya kuja kwa Mkapa kweli?
Nauli ya kuja wanayo! Ile ya kurudia na mahitaji yao mengine muhimu kama chakula, malazi, shopping pale Kariakoo, nk. tutawapatia.

Hivyo ondoa kabisa shaka. Wananchi tuna hela.
 
Hawa watawachezesha pira gwaride showshow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…