Yanga tukubali kuwa tumefungwa, na ndio mpira, tusiwe na excuses

Kwanini uamue wewe mashindano ya kumpima uwezo wa kocha? Kwanini hukuja na hoja ya ubora wa kocha kwenye mashindano ya klabu bingwa au ligi kuu? Kwanini hili Bonanza ndio likufanye upanue mdomo huku ukikazania kuwa wamekulala?

Klabu bingwa kafanya nini Kocha? Unless kama mwenzetu unaiona nafasi ya kutoboa makundi
 
KATENI RUFAA FIFA SABABU IWE UWANJA ULIJAA SANA WATAZAMAJI[emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Klabu bingwa kafanya nini Kocha? Unless kama mwenzetu unaiona nafasi ya kutoboa makundi
Sasa kwanini unaleta ngonjera, elezea kiufundi na kimbinu kocha anachemka wapi sio unaleta tu tarabu. Ukishindwa kuelezea basi hujui mpira unaongea kama mcheza rede tu.
 
Mimi sio mshabiki tu
Bali ni mwanachama Yanga. Maongezi yangu ni kuboresha timu na sio kupamba tu. Nikweli tumelalwa na mwishomwisho vijana wameonesha dharau snaa ya mpira

Ni kama Aden Rage anapoichana SSC, haimfanyi yeye kuwa sio SSC.
 
Sasa kwanini unaleta ngonjera, elezea kiufundi na kimbinu kocha anachemka wapi sio unaleta tu tarabu. Ukishindwa kuelezea basi hujui mpira unaongea kama mcheza rede tu.

Sasa unanililia mimi tena?
 
Acha bangi za kuvutia chooni ni mbaya sana, icho kikosi kimecheza pamoja kwa muda Gani mpaka wawe na muunganiko kucheza kitimu? Kocha katumia wachezaji mchanganyiko wa U20 na wakaa benchi huo muunganiko ungetokea ndani ya mechi 3?
 
Sasa kwanini unaleta ngonjera, elezea kiufundi na kimbinu kocha anachemka wapi sio unaleta tu tarabu. Ukishindwa kuelezea basi hujui mpira unaongea kama mcheza rede tu.

Kulikuwa hakuna sababu ya kuongeza dakika 9 , tuache ushabiki maandazi. Marefa walikuwa upande wetu
 
Ha ha inaelekea leo wana SSC walikuwa wanasubiri kwa hamu sana.

Pamoja na yote mkuu haiondoi ukweli kuwa tuliwapiga Goli tano
Haifutiki hiyo
Kuna zile 6 mlipigwa na Simba zenyewe zimefutika?
 
Achana na kibwengo uyo, anaropoka tu Kama amekatika kichwa
 
Klabu bingwa kafanya nini Kocha? Unless kama mwenzetu unaiona nafasi ya kutoboa makundi
Umeniuliza kafanya nini kimataifa
1) kaiwezesha Yanga kucheza hatua ya makundi mara ya mwisho ilikuwa 1998
2) ameiwezeha Yanga kupata 5 na kushika nafasi ya pili kwenye msimamo, kama kungekuwa na umakini kwa mshika kibendera, Yanga wangekuwa na alama saba mpaka sasa na wangekuwa wanaongoza kundi. Ila bahati mbaya goli lililo halali likakataliwa.

Kuhusu nafasi ya kutoboa au kutoboa, wewe ni mpiga ramli?
 
Acha bangi za kuvutia chooni ni mbaya sana, icho kikosi kimecheza pamoja kwa muda Gani mpaka wawe na muunganiko kucheza kitimu? Kocha katumia wachezaji mchanganyiko wa U20 na wakaa benchi huo muunganiko ungetokea ndani ya mechi 3?

Iliyocheza ilikuwa ni Yanga Kamili, hakuna cha kikosi A wala B. Tuache umaandazi , Yanga tumefungwa na tumepambana tumeshindwa
 
Iliyocheza ilikuwa ni Yanga Kamili, hakuna cha kikosi A wala B. Tuache umaandazi , Yanga tumefungwa na tumepambana tumeshindwa
Sasa unasemaje gamond Hana mbinu? Unaujua mpira wewe ama umeujulia ukubwani
 
Kulikuwa hakuna sababu ya kuongeza dakika 9 , tuache ushabiki maandazi. Marefa walikuwa upande wetu
Kwahiyo hapo ndio umejadili mbinu za kocha? Hivi wewe mzima kweli kichwani? Unaambiwa toa maelezo kimbinu na kiufundi kocha alitakiwa afanye nini. Unakuja kuongelea dakika. Wewe kweli ni zumbukuku
 
Wewe Kama una tabia za kulalwa acha kuingiza kwenye upuuzi!!, Wewe endelea kulalwa sawa.
 
Sasa unasemaje gamond Hana mbinu? Unaujua mpira wewe ama umeujulia ukubwani

Hana mbinu wachezaji anao

Ukiona mtu anakuambia tumefungwa kwa sababu tunakikosi B , run the other way huyo ni kichaa

Mchagua jembe si mkulima

Wakat ihefu anatulala, hawakuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…