Kwahiyo hapo ndio umejadili mbinu za kocha? Hivi wewe mzima kweli kichwani? Unaambiwa toa maelezo kimbinu na kiufundi kocha alitakiwa afanye nini. Unakuja kuongelea dakika. Wewe kweli ni zumbukuku
Umeniuliza kafanya nini kimataifa
1) kaiwezesha Yanga kucheza hatua ya makundi mara ya mwisho ilikuwa 1998
2) ameiwezeha Yanga kupata 5 na kushika nafasi ya pili kwenye msimamo, kama kungekuwa na umakini kwa mshika kibendera, Yanga wangekuwa na alama saba mpaka sasa na wangekuwa wanaongoza kundi. Ila bahati mbaya goli lililo halali likakataliwa.
Kuhusu nafasi ya kutoboa au kutoboa, wewe ni mpiga ramli?
Yanga wala hawakua serious na haya mashindano yenu ya kisiasa,tumewaachieni mashindano yenu mpambane angalau na nyie kufurahi maana huku kwenye ligi na fa hamna chenu 😂Hana mbinu wachezaji anao
Ukiona mtu anakuambia tumefungwa kwa sababu tunakikosi B , run the other way huyo ni kichaa
Mchagua jembe si mkulima
Wakat ihefu anatulala, hawakuwepo?
Na azam atawalala kule msipochangamka,maana huku kwenye ligi karia na bodi ya ligi wana kazi ya kuipeleka mbele tu match yenu na azam ila inshallah kule zenj mtaingia tu kwenye 18 zaoSSC tuliilala Goli 5
Hujui mpira nenda katandike kitanda ukalalwe kama kawaida yako. Usiku saiviHana mbinu wachezaji anao
Ukiona mtu anakuambia tumefungwa kwa sababu tunakikosi B , run the other way huyo ni kichaa
Mchagua jembe si mkulima
Wakat ihefu anatulala, hawakuwepo?
Ihefu alikulala wewe na ukoo wako sio yanga ebho acha dharau kijana!Hana mbinu wachezaji anao
Ukiona mtu anakuambia tumefungwa kwa sababu tunakikosi B , run the other way huyo ni kichaa
Mchagua jembe si mkulima
Wakat ihefu anatulala, hawakuwepo?
Yanga wala hawakua serious na haya mashindano yenu ya kisiasa,tumewaachieni mashindano yenu mpambane angalau na nyie kufurahi maana huku kwenye ligi na fa hamna chenu [emoji23]View attachment 2865068
Kupitia hilo bonanza tumewaona vijana wa kupandisha timu kubwa kuwapeleka mkopo kwenye za ligi kuu wakaongeze ujuzi zaidi,kuna yule libero hamis nanguka,kuna viungo wawili chigombo na tamila,kuna wachezaji wa senior team kupitia bonanza hili wameonyesha wanastahili kuachwa na walio na mikataba kupelekwa mkopo,ila huko mkiani bonanza tu na bado chilunda apati nafasi,jifarijini na bonanza sie hatuna habariTulikuwa serious, sizitak mbichi hizi
Tungetaka kuwambato tena 5 tungeleta full mkoko ili tuwape stahiki yenuTruth will set you free