Yanga tukubali kuwa tumefungwa, na ndio mpira, tusiwe na excuses

Yanga tukubali kuwa tumefungwa, na ndio mpira, tusiwe na excuses

Kwahiyo hapo ndio umejadili mbinu za kocha? Hivi wewe mzima kweli kichwani? Unaambiwa toa maelezo kimbinu na kiufundi kocha alitakiwa afanye nini. Unakuja kuongelea dakika. Wewe kweli ni zumbukuku

Unaniambia nitoe maelezo wewe kama nani?
 
Mwanaume unasema umelalwa, 😀 Duuh mi siwezi iwe ni utani au hata kwa kutolea mfano
 
Umeniuliza kafanya nini kimataifa
1) kaiwezesha Yanga kucheza hatua ya makundi mara ya mwisho ilikuwa 1998
2) ameiwezeha Yanga kupata 5 na kushika nafasi ya pili kwenye msimamo, kama kungekuwa na umakini kwa mshika kibendera, Yanga wangekuwa na alama saba mpaka sasa na wangekuwa wanaongoza kundi. Ila bahati mbaya goli lililo halali likakataliwa.

Kuhusu nafasi ya kutoboa au kutoboa, wewe ni mpiga ramli?

Ramli ndio nini
 
Hana mbinu wachezaji anao

Ukiona mtu anakuambia tumefungwa kwa sababu tunakikosi B , run the other way huyo ni kichaa

Mchagua jembe si mkulima

Wakat ihefu anatulala, hawakuwepo?
Yanga wala hawakua serious na haya mashindano yenu ya kisiasa,tumewaachieni mashindano yenu mpambane angalau na nyie kufurahi maana huku kwenye ligi na fa hamna chenu 😂
20231231_220832.jpg
 
Duh hadi JF kuna mashoga, unapenda kulalwa sana mtoa uzi. Laana zako zibakie nazo mwenyewe.
 
SSC tuliilala Goli 5
Na azam atawalala kule msipochangamka,maana huku kwenye ligi karia na bodi ya ligi wana kazi ya kuipeleka mbele tu match yenu na azam ila inshallah kule zenj mtaingia tu kwenye 18 zao
 
Hana mbinu wachezaji anao

Ukiona mtu anakuambia tumefungwa kwa sababu tunakikosi B , run the other way huyo ni kichaa

Mchagua jembe si mkulima

Wakat ihefu anatulala, hawakuwepo?
Hujui mpira nenda katandike kitanda ukalalwe kama kawaida yako. Usiku saivi
 
Hana mbinu wachezaji anao

Ukiona mtu anakuambia tumefungwa kwa sababu tunakikosi B , run the other way huyo ni kichaa

Mchagua jembe si mkulima

Wakat ihefu anatulala, hawakuwepo?
Ihefu alikulala wewe na ukoo wako sio yanga ebho acha dharau kijana!
 
Tulikuwa serious, sizitak mbichi hizi
Kupitia hilo bonanza tumewaona vijana wa kupandisha timu kubwa kuwapeleka mkopo kwenye za ligi kuu wakaongeze ujuzi zaidi,kuna yule libero hamis nanguka,kuna viungo wawili chigombo na tamila,kuna wachezaji wa senior team kupitia bonanza hili wameonyesha wanastahili kuachwa na walio na mikataba kupelekwa mkopo,ila huko mkiani bonanza tu na bado chilunda apati nafasi,jifarijini na bonanza sie hatuna habari
 
Yanga tunaonewaga sana na marefarii wa TFF.
Ile haikuwa Penati.
Shibobo alikuwa Ofside
 
Moderator badilisha kichwa cha habari. Bora kesho Nchi itulie.
 
UMToe kocha kisa akina zawadi mauya na hao yangaB?
wangezingua first eleven na sub zao kweli
 
Back
Top Bottom