Yanga tukubali kuwa tumefungwa, na ndio mpira, tusiwe na excuses

Hamna...
Kuna mkono wa mtu...
Tulikuwa tumejipanga kisawasawa...

 
Excuses kuwa wachezaji fulani Hawapo ndio maana tumelalwa ni excuses ya kitoto,
Nina mashaka na ubora wa kocha.
Tuliangalie la kocha
Hata mashaka yako juu ya kocha ni excuse pia
 
Kwani Yanga wameyakataa matokeo? Huyo kocha unamuona mbovu kwa kufungwa mechi ngapi toka aanze kufundisha?
 
Achana nae shabiki wa Simba huyo.
 
Ha ha inaelekea leo wana SSC walikuwa wanasubiri kwa hamu sana.

Pamoja na yote mkuu haiondoi ukweli kuwa tuliwapiga Goli tano
Haifutiki hiyo
Simba habebi hili kombe, labda kwa mbereko.
 
Kwanini uamue wewe mashindano ya kumpima uwezo wa kocha? Kwanini hukuja na hoja ya ubora wa kocha kwenye mashindano ya klabu bingwa au ligi kuu? Kwanini hili Bonanza ndio likufanye upanue mdomo huku ukikazania kuwa wamekulala?
Mleta mada ana matatizo, hakuna shabiki wa Yanga aliyejeruhiwa na matokeo ya hili bonanza.
 
Kwani hawa sio kwamba walidroo na simba sasa imekuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…