Yanga tukubali kuwa tumefungwa, na ndio mpira, tusiwe na excuses

Yanga tukubali kuwa tumefungwa, na ndio mpira, tusiwe na excuses

Hamna...
Kuna mkono wa mtu...
Tulikuwa tumejipanga kisawasawa...

1704678416315.png
 
Excuses kuwa wachezaji fulani Hawapo ndio maana tumelalwa ni excuses ya kitoto,
Nina mashaka na ubora wa kocha.
Tuliangalie la kocha
Hata mashaka yako juu ya kocha ni excuse pia
 
Kitu pekeee nina chojua ni kuwa huu mpira wa mchaka mchaka uliopigwa leo SSC hawezi kukimbizana hivi. Hawana pumzi na ndjo maana tuliwalala tano.

Tumepambana sana lakini vimo vyetu pia vilikuwa ni tatizo. SSC angekula nyingi leo na hawa APR.

Excuses kuwa wachezaji fulani Hawapo ndio maana tumelalwa ni excuses ya kitoto, wachezaji wote wa Yanga tumesajili kwa uwezo wao na wanakula mshahara kila mwezi.

Wakati Yanga tunalalwa na ihefu, hao wachezaji hawakuwemo? Wakati tunakula tatu bila pale Algiers, hawakuwepo?

Tuache utoto na tuangalie kwa mapana, hata SSC hatotoboa Kesho.

Tusiwe kama mzee wa Objective alisema alikula tano kwa sababu kibu denga kaumia.

Hawa APR wangekuwa makini leo tungekula khamsa kwa moja. Vijana ni mapafu ya mbwa.

Marefa pia walikuwa upande wetu Ila hatujabebeka. Dakika 9 pia ilikuwa ni inside job but riziki haikuwa yetu.

Nina mashaka na ubora wa kocha.

Niweke wazi. Inawezekana hii yanga huwa inashinda kwa uwezo binafsi wa players but sio kwa mbinu za kocha. Tuchunguze hilo.

SSC tuliilala 5 sio kwa sababu sisi tulikuwa bora, ni kwasababu SSC ilikuwa ni mzoga upo upo unaosubiri kuoza.

Tuliangalie la kocha
Kwani Yanga wameyakataa matokeo? Huyo kocha unamuona mbovu kwa kufungwa mechi ngapi toka aanze kufundisha?
 
Haya njoo utudadavulie ni namna gani wachezaji wa Yanga hushinda kwa uwezo wao bila msaada wa kocha.
Stats za Gamondi kwenye mashindano rasmi
Ligi kapoteza mechi moja tu kashinda mechi 10
Klabu bingwa kapoteza mechi moja kati ya mechi sita
Kwenye ligi ni timu ya pili kwenye msimamo ikiwa na mechi mbili mkononi na magoli ya kutosha.

Je kwenye mbinu wewe unaona Gamondi anafeli wapi?
Na je unaona afanyeje upsnde wa kimbinu?
Sio kwavile unajua kutype tu ukajifanya unajua mpira.
Achana nae shabiki wa Simba huyo.
 
Ha ha inaelekea leo wana SSC walikuwa wanasubiri kwa hamu sana.

Pamoja na yote mkuu haiondoi ukweli kuwa tuliwapiga Goli tano
Haifutiki hiyo
Simba habebi hili kombe, labda kwa mbereko.
 
Kwanini uamue wewe mashindano ya kumpima uwezo wa kocha? Kwanini hukuja na hoja ya ubora wa kocha kwenye mashindano ya klabu bingwa au ligi kuu? Kwanini hili Bonanza ndio likufanye upanue mdomo huku ukikazania kuwa wamekulala?
Mleta mada ana matatizo, hakuna shabiki wa Yanga aliyejeruhiwa na matokeo ya hili bonanza.
 
Kitu pekeee nina chojua ni kuwa huu mpira wa mchaka mchaka uliopigwa leo SSC hawezi kukimbizana hivi. Hawana pumzi na ndjo maana tuliwalala tano.

Tumepambana sana lakini vimo vyetu pia vilikuwa ni tatizo. SSC angekula nyingi leo na hawa APR.

Excuses kuwa wachezaji fulani Hawapo ndio maana tumelalwa ni excuses ya kitoto, wachezaji wote wa Yanga tumesajili kwa uwezo wao na wanakula mshahara kila mwezi.

Wakati Yanga tunalalwa na ihefu, hao wachezaji hawakuwemo? Wakati tunakula tatu bila pale Algiers, hawakuwepo?

Tuache utoto na tuangalie kwa mapana, hata SSC hatotoboa Kesho.

Tusiwe kama mzee wa Objective alisema alikula tano kwa sababu kibu denga kaumia.

Hawa APR wangekuwa makini leo tungekula khamsa kwa moja. Vijana ni mapafu ya mbwa.

Marefa pia walikuwa upande wetu Ila hatujabebeka. Dakika 9 pia ilikuwa ni inside job but riziki haikuwa yetu.

Nina mashaka na ubora wa kocha.

Niweke wazi. Inawezekana hii yanga huwa inashinda kwa uwezo binafsi wa players but sio kwa mbinu za kocha. Tuchunguze hilo.

SSC tuliilala 5 sio kwa sababu sisi tulikuwa bora, ni kwasababu SSC ilikuwa ni mzoga upo upo unaosubiri kuoza.

Tuliangalie la kocha
Kwani hawa sio kwamba walidroo na simba sasa imekuaje
 
Back
Top Bottom