Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Kitu pekeee nina chojua ni kuwa huu mpira wa mchaka mchaka uliopigwa leo SSC hawezi kukimbizana hivi. Hawana pumzi na ndjo maana tuliwalala tano.
Tumepambana sana lakini vimo vyetu pia vilikuwa ni tatizo. SSC angekula nyingi leo na hawa APR.
Excuses kuwa wachezaji fulani Hawapo ndio maana tumelalwa ni excuses ya kitoto, wachezaji wote wa Yanga tumesajili kwa uwezo wao na wanakula mshahara kila mwezi.
Wakati Yanga tunalalwa na ihefu, hao wachezaji hawakuwemo? Wakati tunakula tatu bila pale Algiers, hawakuwepo?
Tuache utoto na tuangalie kwa mapana, hata SSC hatotoboa Kesho.
Tusiwe kama mzee wa Objective alisema alikula tano kwa sababu kibu denga kaumia.
Hawa APR wangekuwa makini leo tungekula khamsa kwa moja. Vijana ni mapafu ya mbwa.
Marefa pia walikuwa upande wetu Ila hatujabebeka. Dakika 9 pia ilikuwa ni inside job but riziki haikuwa yetu.
Nina mashaka na ubora wa kocha.
Niweke wazi. Inawezekana hii yanga huwa inashinda kwa uwezo binafsi wa players but sio kwa mbinu za kocha. Tuchunguze hilo.
SSC tuliilala 5 sio kwa sababu sisi tulikuwa bora, ni kwasababu SSC ilikuwa ni mzoga upo upo unaosubiri kuoza.
Tuliangalie la kocha