Yanga tumecheza match ngumu. Pamba walichezesha wachezaji 6 ambao ni under 20

Hapo pamba walijipaka mafuta ila Yanga wakishindwa kuteleza.
Cha ajabu hizi timu zikicheza na Simba huwa hazipangi vikosi vya pili
 
Hapo pamba walijipaka mafuta ila Yanga wakishindwa kuteleza.
Cha ajabu hizi timu zikicheza na Simba huwa hazipangi vikosi vya pili
nawe umekubali huo ujinga, tafuta kikosi kilicho cheza na yanga alafu tafuta hao under 20 6 kama utawaona
 
ilishinda Yanga au Pamba ?

Twasubiri simba ikutane na pamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…