ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Japo hali ya joto kali inawezekana nayo imechangia uchovu wa wachezaji lakini kweli makosa yamefanyika.
Unakwenda kucheza unbeaten ya 50 namba muhimu kabisa katika rekodi unaanza mchezo na Mauya,Nkane..!
Nje umewaacha Aziz,Moloko,Mzize...
Sijajua matatizo ya benchi la ufundi huwa yanapatwa na nini,
Kosa walilolifanya hata Cameroun jana..kombe la dunia hakuna mechi isiyo muhimu ati kikosi kinaanza mechiya pili bila Vicent aboubakar..! Mchezaji aliyetwaa kiatu cha dhahabu afcon iliyoisha mchezaji aliyesaidia kwa mapama kuifikisha timu qatar!..lakini alivyoingia matokeo yakaonekana.
Turudi kwetu
Nilivyokiona kikosi kilichoanza tu leo nikapatwa na mashaka mno na nikawaambia jamaa huku kuwa kwanini azizi,mzize na moloko waanzie nje?
Kitendo kilichofuatia katikati ya mchezo kuwaingiza sub nikajihakikisha kweli kumbe tulijitakia kufungwa.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app