Yanga tumejitakia kufungwa

Yanga tumejitakia kufungwa

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Japo hali ya joto kali inawezekana nayo imechangia uchovu wa wachezaji lakini kweli makosa yamefanyika.

Unakwenda kucheza unbeaten ya 50 namba muhimu kabisa katika rekodi unaanza mchezo na Mauya,Nkane..!
Nje umewaacha Aziz,Moloko,Mzize...

Sijajua matatizo ya benchi la ufundi huwa yanapatwa na nini,
Kosa walilolifanya hata Cameroun jana..kombe la dunia hakuna mechi isiyo muhimu ati kikosi kinaanza mechiya pili bila Vicent aboubakar..! Mchezaji aliyetwaa kiatu cha dhahabu afcon iliyoisha mchezaji aliyesaidia kwa mapama kuifikisha timu qatar!..lakini alivyoingia matokeo yakaonekana.

Turudi kwetu
Nilivyokiona kikosi kilichoanza tu leo nikapatwa na mashaka mno na nikawaambia jamaa huku kuwa kwanini azizi,mzize na moloko waanzie nje?

Kitendo kilichofuatia katikati ya mchezo kuwaingiza sub nikajihakikisha kweli kumbe tulijitakia kufungwa.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mjini kimyaaa!¡!!!
IMG-20221129-WA0039.jpg
IMG-20221023-WA0059.jpg
JamiiForums-212166062.gif
IMG-20220721-WA0056.jpg
IMG-20211020-WA0006.jpg
IMG-20220403-WA0036.jpg

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Japo hali ya joto kali inawezekana nayo imechangia uchovu wa wachezaji lakini kweli makosa yamefanyika.

Unakwenda kucheza unbeaten ya 50 namba muhimu kabisa katika rekodi unaanza mchezo na Mauya,Nkane..!
Nje umewaacha Aziz,Moloko,Mzize...

Sijajua matatizo ya benchi la ufundi huwa yanapatwa na nini,
Kosa walilolifanya hata Cameroun jana..kombe la dunia hakuna mechi isiyo muhimu ati kikosi kinaanza mechiya pili bila Vicent aboubakar..! Mchezaji aliyetwaa kiatu cha dhahabu afcon iliyoisha mchezaji aliyesaidia kwa mapama kuifikisha timu qatar!..lakini alivyoingia matokeo yakaonekana.

Turudi kwetu
Nilivyokiona kikosi kilichoanza tu leo nikapatwa na mashaka mno na nikawaambia jamaa huku kuwa kwanini azizi,mzize na moloko waanzie nje?

Kitendo kilichofuatia katikati ya mchezo kuwaingiza sub nikajihakikisha kweli kumbe tulijitakia kufungwa.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hakuna msiba usiokuwa na sababu. Na sasa hivi mtatoboka kama gozi
 
Mtu wa mpira huwezi kulaumu na kusema tumejitakia kufungwa maana hujui hao wachezaji walioanza walimshawishi nini kocha mazoezini,then kumbuka hamna timu isiyofungwa duniani
 
Tatizo mmekiuka masharti ya mganga wenu wa kuvaa jezi nyeusi huko kwingne ni vilio tu kama vilio vingne vya kuchezewa na mtoto mdogo
 
Hiyo unbeaten ilichangiwa na maamuzi mengi mabovu. Kwa hiyo utopolo siyo kwamba haifungiki hata hao akina Aziz wakianza.
 
Mpira haupo hivo kijana, kuna siku mechi huwa inakataa tu, man city alipanga full kikosi akabamizwa pale sebuleni kwake etihad na watoto.

Argentina kapigwa na wavaa kobaz akiwa na kikos chake chote, mashabiki wanaoujua mpira hawawezi kuja sababu za kitoto kama hizi.

Yanga kuna siku itafungwa ndo kama hivi imefungwa. Mpira una matokeo matatu
 
Unasema Yanga mmejitakia wenyewe kufungwa at the same time unakuja kuainisha sababu zilizochangia kufungwa ikiwa ni joto sana (ambazo zipo nje ya uwezo wenu)

Hapo wenyewe sidhani kama ulichokiandika ukikisoma utakielewa.

Kwanza ungejua Dar kuna joto kali kuliko hayo mazingira unayosema, na mmekuwa mkipata matokeo mazuri.

Unasema Azizi Ki ameanzia benchi kama ndio moja ya sababu iliyopelekea mpaka mkafungwa, na sasa unampa lawama kocha

Umesahau ushindi mliopata Tunnis, AziI Ki alianzia benchi na mliposhinda mlitoka vifua mbele kumsifu Nabi kuwa alikuwa na plan nzuri kumuanzishia benchi Azizi Ki ili awe kama game changer?

Mara hii mmesahau kuwa huyu ndio mlikiwa mnampa promo kuwa mchezaji mkubwa huamua mechi kubwa?
 
Mpira haupo hivo kijana, kuna siku mechi huwa inakataa tu, man city alipanga full kikosi akabamizwa pale sebuleni kwake etihad na watoto.

Argentina kapigwa na wavaa kobaz akiwa na kikos chake chote, mashabiki wanaoujua mpira hawawezi kuja sababu za kitoto kama hizi.

Yanga kuna siku itafungwa ndo kama hivi imefungwa. Mpira una matokeo matatu
Haya yote yatasemwa pale ambapo Yanga ikifungwa

Wakifungwa Simba tu utasikia

1. Makolo niwabovu hawana kikosi kizuri

2. Striker aina ya Phiri hawezi kufunga

3.Mgunda sio kocha labda abakie msaidizi

4. Mo hafanyi investments za uhalisia ndani ya Club

5. Barbra ni tatizo na ndio maana kila mtu anagombana naye

6. Kwa kiwango hiki ngoja siku tukutane mtamuona atachowafanya Mayele

7. Na kwa kufungwa na timu hii ndogo hata nafasi ya pili hamuweI kuipata na kombe linaenda jangwani.
 
Subiri nimalizie wanzuki yangu ndiyo tutaongea vizuri nikiwa nimelewa.Tulia.😂😂😂😂
 
Unasema Yanga mmejitakia wenyewe kufungwa at the same time unakuja kuainisha sababu zilizochangia kufungwa ikiwa ni joto sana (ambazo zipo nje ya uwezo wenu)

Hapo wenyewe sidhani kama ulichokiandika ukikisoma utakielewa.

Kwanza ungejua Dar kuna joto kali kuliko hayo mazingira unayosema, na mmekuwa mkipata matokeo mazuri.

Unasema Azizi Ki ameanzia benchi kama ndio moja ya sababu iliyopelekea mpaka mkafungwa, na sasa unampa lawama kocha

Umesahau ushindi mliopata Tunnis, AziI Ki alianzia benchi na mliposhinda mkitoka vifua mbele kumsifu Nabi kuwa alikuwa na plan nzuri kumuanzishia benchi Azizi Ki ili awe kama game changer?

Mara hii mmesahau kuwa huyu ndio mlikiwa mnampa promo kuwa mchezaji mkubwa huamua mechi kubwa?
Aziz alipaswa kuanza,joto kule mbalali leo ilikua 34°C zaidi ya dar
Uliona Nabi akimwagia maji yule mtoto nkane
Kwani huja notice wachezaji wetu bora leo walikua wazito?

Back
Top Bottom